Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana nikasema inategemea na sehemu mzunguko wa biashara na watu upoje sio kila eneo la kutoboa frame, kuna maeneo wazee wanatamani wapangishe hadi sebule 😆 ( wanakwambia kodi tamu sijui walikua wapi wasitengeneze hizo frame hapo zamani hayo ni madai yao na wanajuta kuchelewa)Ah wapi!...jirani yangu ana mjengi mzuri mbele kaweka mifrem imekosa wateja mijana tu...eish!mie ntaweka maua had njia izibe !
Hii kitu hta mi huwa najiuliza! Sipati jibu
Unakuta nyumba Kali kinoma halafu mifrem imeiziba
tatizo hawapunguzi Bei,wako radhi frame ikae miaka kumi bila mpangaji kuliko kuamua kushusha Bei na kupata mteja,zikiwa nyingi ndio vizuri na bei inapungua mkuu. halafu zinapendezesha mji
manengelo,
Mtu anajenga nyumba ya kisasa mbele anaweka mifremu!haiji tokea kbs kwangu.
au ikipangwa mpangaji anafuga kuku au kiwanda cha juice ya miwa.......
Nikupigana vikumbo na nzi tuuu...
Half jf kuna mda quote zinagoma,
Hayo maua nyuki na nyoka watageuza nyumba yako maskani yao.Ah wapi!...jirani yangu ana mjengi mzuri mbele kaweka mifrem imekosa wateja mijana tu...eish!mie ntaweka maua had njia izibe !
Binafsi sitaki kusikia maua, yaani naona ni upotevu wa rasilimali maji. Kila siku umwagilia tu kisa muonekano, aah wapi. Naweka maua kwenye yale makopo Yao, nikinunua kadhaa yanatosha, the rest napanda mboga(maka maua vile), hapa hoho, pale mchaichai, pale spinach, I like it.Mie mbele eneo lililobak unaweza weka frem hata 8! Lakini kila mtu akija anakuambia weka frem[emoji1787]nawaambia za nn huku jaman..kumepoa unamwekea nan frem..mwingine anakuambia toa maua ww lima mahindi[emoji1787][emoji1787]!cha!...
Binafsi sitaki kusikia maua, yaani naona ni upotevu wa rasilimali maji. Kila siku umwagilia tu kisa muonekano, aah wapi. Naweka maua kwenye yale makopo Yao, nikinunua kadhaa yanatosha, the rest napanda mboga(maka maua vile), hapa hoho, pale mchaichai, pale spinach, I like it.
Yes ni gharama sana kutunza! Mie napenda sana maua yaan niende mjini nisipite kununua ua hapana siwez...na mwenzangu ashacope naye anapenda...michaichai mie nimenpanda nyumaa na matunda...ila mbele utapapendaaa[emoji39][emoji39]!
so shemasi mbele unapanda chinese mchicha ?wapare bwana
Kanuni ya demand and supply ina apply kwenye biashara yyte....usitudanganyeBei haishuki fanya utafiti law ya demand and supply haifanyi kazi kwenye fremu za biashara Tanzania.
Hapo umeharibu kusema unapanda mazao... sasa nyumba inageuka bustani tena au shamba aisee. Nyumba ijaze miti ya kudumu around it basi!Binafsi sitaki kusikia maua, yaani naona ni upotevu wa rasilimali maji. Kila siku umwagilia tu kisa muonekano, aah wapi. Naweka maua kwenye yale makopo Yao, nikinunua kadhaa yanatosha, the rest napanda mboga(maka maua vile), hapa hoho, pale mchaichai, pale spinach, I like it.
Nimekuwa mshamba kama jamaa zangu wanaosemwa sana hapa[emoji39]Hapo umeharibu kusema unapanda mazao... sasa nyumba inageuka bustani tena au shamba aisee. Nyumba ijaze miti ya kudumu around it basi!
Kama eneo lako ni kubwa weka au tenga sehemu maalum kwajili ya shamba /bustani kinyume na hapo achana na mambo ya kuweka misitu ya mazao nyumbani
GeniusUmecompare na nchi ga????