Shazili mnali
JF-Expert Member
- Mar 25, 2023
- 362
- 569
Shiitt. inamana kama cha jilan yako bola kuliko chako usiige?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hupaswi kuiga bali unatakiwa kumuonesha kuwa chako ni bora kulicho chake. Nakupa mfano mdogo, rafiki yako wa kiume akikwambia yeye ndiye bora kwa wanawake wewe utakubali ama utamwambia wewe ndiye bora kuliko yeye? Ni sawa na mtu akwambie anakuua kisha yeye abaki nadhani hutataka wewe kuuawaShiitt. inamana kama cha jilan yako bola kuliko chako usiige?
Nadhani walikosa support ya Wizara ya Utamaduni, ilitakiwa iwashike mkono hata siku hiyo ya uzinduzi iwe ya kwanza kuwataarifu wananchiKina Majani kupitia wizara husika kipindi fulani walikuwa na project kuzunguka Tanzania nzima, wanatafuta kila kionjo cha eneo husika ili kuja kuviunganisha ili upatikane mdundo / melody ya Taifa (Kama nipo sahihi) sijui waliishia wapi
Andiko zuri mkuu
Hapo basi ndio maana mpaka leo sound yetu haijulikani / inaelekea kupoteza mvutoNadhani walikosa support ya Wizara ya Utamaduni, ilitakiwa iwashike mkono hata siku hiyo ya uzinduzi iwe ya kwanza kuwataarifu wananchi