Tanzania ni nchi pekee duniani inayopuuza tamaduni zake

Tanzania ni nchi pekee duniani inayopuuza tamaduni zake

Shiitt. inamana kama cha jilan yako bola kuliko chako usiige?
Hupaswi kuiga bali unatakiwa kumuonesha kuwa chako ni bora kulicho chake. Nakupa mfano mdogo, rafiki yako wa kiume akikwambia yeye ndiye bora kwa wanawake wewe utakubali ama utamwambia wewe ndiye bora kuliko yeye? Ni sawa na mtu akwambie anakuua kisha yeye abaki nadhani hutataka wewe kuuawa
 
Kina Majani kupitia wizara husika kipindi fulani walikuwa na project kuzunguka Tanzania nzima, wanatafuta kila kionjo cha eneo husika ili kuja kuviunganisha ili upatikane mdundo / melody ya Taifa (Kama nipo sahihi) sijui waliishia wapi

Andiko zuri mkuu
 
Nadhani walikosa support ya Wizara ya Utamaduni, ilitakiwa iwashike mkono hata siku hiyo ya uzinduzi iwe ya kwanza kuwataarifu wananchi
 
Nadhani walikosa support ya Wizara ya Utamaduni, ilitakiwa iwashike mkono hata siku hiyo ya uzinduzi iwe ya kwanza kuwataarifu wananchi
Hapo basi ndio maana mpaka leo sound yetu haijulikani / inaelekea kupoteza mvuto
 
Bongo tuna ngoma nyingi ila maproducer nao wanapenda kwenda na trend.
 
Back
Top Bottom