Tanzania ni nchi ya kidikteta

Tanzania ni nchi ya kidikteta

Angalau sisi tunaweza kuenda barabarani kuandamana. Nchi yenu ya kinyanyasaji hata huwa mnaogopa kutoka nje kudai haki zenu kwa sababu mtapigwa kama mbwa.
Umeshasahau police wenu wanavyowaua kila mkitoka barabarani? Kwenye curfew tu mmeuawa kama kumbikumbi

Bado wenyewe mnauana kwa tofauti za kikabila
 
Umeshasahau police wenu wanavyowaua kila mkitoka barabarani? Kwenye curfew tu mmeuawa kama kumbikumbi

Bado wenyewe mnauana kwa tofauti za kikabila
Umeshasahau jinsi polisi wenu walivyompiga mwanahabari wenu hadi akabakia utumbo tu?
 
Umeshasahau jinsi polisi wenu walivyompiga mwanahabari wenu hadi akabakia utumbo tu?
Na hakujawahi tokea tukio kama hilo mpaka serikali ime rename certain road in Dodoma by his name na special journalist award by his name

Huko kwenu mpaka mnapelekwa the Hague
 
Na hakujawahi tokea tukio kama hilo mpaka serikali ime rename certain road in Dodoma by his name na special journalist award by his name

Huko kwenu mpaka mnapelekwa the Hague
Huko kwenu mnapiga Tundu Lissu marisasi mpaka anatorokea Kenya kupata matibabu kwa usalama wake?
 
Huko kwenu mnapiga Tundu Lissu marisasi mpaka anatorokea Kenya kupata matibabu kwa usalama wake?
Wacha hivo,leo Ni leo maaskari wao wameteka Kanisa la katoliki la Mbeya eti ni machadema🙈🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mambo ya ngoswe muachie ngoswe. Wewe unamfahamu Mbowe kuliko watanzania wenyewe ?
Mimi kama Mkenya nahuzunika sana kuona kwamba tumezungukwa na nchi za kidikteta. Kenya is the only democracy in East Africa. Mkubwa wa Upinzani Freeman Mbowe na wafuaswi wake wamekamatwa usiku wa kuamkia jana na wanashikiliwa na polisi. Inakisiwa kwamba watashtakiwa kwa madai ya ugaidi. Yaani mnarudi nyuma ndugu zetu. Kushtaki Freeman Mbowe kwa shtaka la kigaidi inadhihirisha kwamba huko kwenu kuna udikteta wa hali ya juu hata kushinda Uganda.

Wakati mnaua akina Ouko na kumfukuza Miguna hiyo ndio Demokrasia ? Hauko serious. Kenya ni ukabila tu wala hakuna demokrasia ya kweli.
Noma sana na inahuzunisha kwa kweli, kuanzia Somalia kupitia Ethiopia, Uganda, Sudan Kusini mpaka Tanzania tumezungukwa na mataifa ya ajabu sana, hamna uvumilivu wowote.
Poleni sana, sidhani kama mama ameridhia haya yote.

Lakini mpaka polisi watumie neno "ugaidi" labda kunalo wanalolijua au wamegundua.....
 
Majirani mtaendelea kulia hadi mmwage ute. Hadi siku mtakapotia akili na kubadilisha mifumo yenu na kuzifanya taasisi nyeti za serikali na mihimili pia ziwe huru. Wenzenu yalishatukumba hayo yanayowasibu, tena kwa zaidi ya miongo miwili.

Sasa hivi rais tulishampunguzia madaraka na kuyasambaza kwenye taasisi, mihimili mingine ya serikali hadi na mashinani kwenye serikali za gatuzi zote nchini Kenya. Leo hii Rais Uhuru akitamani kuwa dikteta kama wenzake hatoweza kustahimili mapigo ambayo hatma yake itakuwa ni kung'atuliwa madarakani.
 
before Tanzania gets a new constitution blood will have to be shed. I hate that I have to say that.

The entrenched status quo has now made it plainly clear that they will not entertain any talk of a new constitution from the opposition. However CHADEMA is a well run organization and it will be hard to silence them.

They tried to assassinate their leader now they're trying to use the party controlled judicial system to remove the new leader and in the process they have galvanized the opposition.

Kenya went through this very process, learn from our mistakes.
 
True. Tanzania is very rotten right now in terms of multiparty democracy. Recently Magufuli rigged the election and now more than 90% of the MPs are from one party. They want us to believe that even opposition stronghold regions also voted for CCM. Now after sending Magufuli's opponent to exile in Belgium, they are now arresting the new leader of opposition and threatening to charge him with terrorism. The politics of this country is completely rotten.
 
Back
Top Bottom