Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,867
- 19,250
Umeshasahau police wenu wanavyowaua kila mkitoka barabarani? Kwenye curfew tu mmeuawa kama kumbikumbiAngalau sisi tunaweza kuenda barabarani kuandamana. Nchi yenu ya kinyanyasaji hata huwa mnaogopa kutoka nje kudai haki zenu kwa sababu mtapigwa kama mbwa.
Bado wenyewe mnauana kwa tofauti za kikabila