..bado bei ya mafuta ni aghali kwa watz waliowengi.
..hizo bei za rwanda, kenya, na kwingineko, hazituhusu.
Fatilia bei za before and after ruzuku hapo utajua Rais Samia Suluhu amejua kutujari watu wakeHiyo 2000 ni dar, Tanga na mtwara huku kwetu kantalamba ni Zaid ya 3000
Hivi ukiwa mkuu wa familia una iga watoto wa jirani wamekula makande huvyo wako wakila ugali wasilie au una tamani familia yako iushi vizuri?Tanzania tunabahati sana kuwa na Rais anayejali wananchi kutokana na ruzuku ya mafuta Bilioni 100 inayotolewa na Rais Samia Suluhu kila mwezi imepelekea bei ya mafuta kuendelea kushuka kila leo.
Kupelekea Tanzania kuwa nchi yenye bei ndogo zaidi ya mafuta Afrika Mashariki.
Kuanzia leo mafuta yataanza kuuzwa kwa Dar, Petroli itauzwa Tsh. 2,886, Dizeli Tsh. 3083 na Mafuta ya Taa Tsh. 3,275 kwa lita, wa kupungua bei ya mafuta itapelekea kushuka gharama za huduma na bidhaa mbalimbali.
Rais Samia Suluhu amefanikisha kupunguza gharama za maisha Tanzania.
Wewe jamaa unachuki tu na Mama si lingineKisa jirani hajala na wewe ufurahie kulala njaa?
Sisi tunahoji mafuta kupanda bei kwa asilimia zaidi ya miamoja kutoka mwaka jana hadi sasa
Wakati nchi majiran mafuta hayajapanda hata kwa aslimia thelathini
Acheni kuchagua habari nzuri tu
View attachment 2377974
Angalia hapo tungenunue kiasi gani bila ruzuku mama kajitahidi sana aisee tnajivunia kua na Rais anaejari watu wake