Tanzania ni ya sita kijeshi Afrika

Tanzania ni ya sita kijeshi Afrika

duru za kijeshi zinadai NCHI ZISIZO PIGANA VITA ni hatari sana kwa viwango vya kijeshi kuliko nchi zenye migogoro
kwa hili naamini yawezekana TZ ni hatari sana kwani vijana waliotoka kule MONDULI wanadai kuna vita ya chini kwa chini kati ya USA na CHINA kuwa karibu na jeshi la TZ wakiamini TZ ni kiboko ya mambo
 
Tungekuwa mbali zaidi Kama tungekuwa hatuongozwi na mafisadi. Hawa wezi wameviza kasi yetu ya maendeleo.

weye unaishi dunia gani? Unasemaje marekani hakuna vita? Kule iraq, afghanistan, pakistan, libya, somalia nani anapigana kama si mmarekani?

Unasema india hakuna vita ivi hujui vita ya jimbo la kashmir na maeneo mengine kwenye mapigano ya kikabila na kidini ambako india inapigana?

Unasema china haina vita hujui kama ni juzi tu china ilikua inapigana na wanamgambo wa kiislam na hadi leo hakujawa stable?

Kama kweli tanzania inaweza kupigana na ijaribu kupigana na nchi kama ethiopia, misri au sudan ndo uone shughuli yake.
 
Weye yakhe Unataka kupigana ndio uone nani mbabe?
Sisi hatutaki kumuanza mtu watuanze waone.
 
Na kwa dunia ni ya ngapi?
Nashauri tuombe vita ya kirafiki na Korea ya Kusini au Cuba manake tuna silaha zimeiva hadi zinatulipukia wenyewe!
 
weye unaishi dunia gani? Unasemaje marekani hakuna vita? Kule iraq, afghanistan, pakistan, libya, somalia nani anapigana kama si mmarekani?

Unasema india hakuna vita ivi hujui vita ya jimbo la kashmir na maeneo mengine kwenye mapigano ya kikabila na kidini ambako india inapigana?

Unasema china haina vita hujui kama ni juzi tu china ilikua inapigana na wanamgambo wa kiislam na hadi leo hakujawa stable?

Kama kweli tanzania inaweza kupigana na ijaribu kupigana na nchi kama ethiopia, misri au sudan ndo uone shughuli yake.

Tanzania ina historia ya kukomboa nchi mbili!!nadhani malawi wanahitaji ukombozi pia.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Lakini hii ndiyo isiwe sababu pekee ya kujihakikishia Ziwa Nyasa/Malawi ni letu. Ni lazima viongozi wetu wajue sheria na mikataba yote inayotudhibitishia uhalali wa kumiliku sehemu ya ziwa hilo. Kama wao watalianzisha, basi hatuna budi nasi kwa jeshi letu kujibu mapigo.

Swali la kujiuliza: Kwanini hawa watu wamekuwa na nguvu za kusema kuwa Ziwa ni lao angali mojadala ilikuwa ikifanyika na kukwama tangu miaka ya 60's. Lazima nyuma ya hawa jamaa kutakuwa na Taifa kubwa lililotayari kuwasaidia kivita.
 
Labda hilo taifa ni uingereza.wanaofanya uchunguzi wa uwepo wa mafuta ni kampuni lenye makazi yake huko uingereza

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
weye unaishi dunia gani? Unasemaje marekani hakuna vita? Kule iraq, afghanistan, pakistan, libya, somalia nani anapigana kama si mmarekani?

Unasema india hakuna vita ivi hujui vita ya jimbo la kashmir na maeneo mengine kwenye mapigano ya kikabila na kidini ambako india inapigana?

Unasema china haina vita hujui kama ni juzi tu china ilikua inapigana na wanamgambo wa kiislam na hadi leo hakujawa stable?

Kama kweli tanzania inaweza kupigana na ijaribu kupigana na nchi kama ethiopia, misri au sudan ndo uone shughuli yake.

Mungu wetu apishe mbali hii kitu
 
Jeshi la tanzania ni moja ya majeshi imara kabisa barani Afrika.
Hii ni kwa sababu:-
1. Uzalendo wa wanajeshi wa tanzania
2. Mipango thabiti ya jeshi
3. Mfumo mzuri wa jeshi.

Huwa baada ya miaka miwili huwa kunafanyika gwaride la makomadoo wa afrika. Tanzania imekuwa ikishikilia nafasi ya pili na tatu kwa upande wa makomadoo.

Huenda wengine wakadhani nchi ya tanzania inaingilika kiulaini la hasha.

Ifuatayo ni jinsi majeshi yalivyo
1. Afrika ya kusini
2. Ethiopia
3. Libya
4. Misri
5. Ghana

na ya sita Tanzania.

Nchi ya Tanzania inafundisha majeshi mbalimbali Afrika
Kongo DRC, Uganda, Msumbiji vile vile nchi ya Kenya huwa inachukua mafunzo katika Jeshi la Tanzania.

Nchi ya tanzania mara nyingi hupata mafunzo ya kijeshi nje ya Afrika na sio Afrika maana tuko juu.
Nchi ya urusi na china ndio nchi ambazo mara nyingi tanzania hupata mafunzo

Naipenda TANZANIA

Kweli Uache iwe Tetesi sio kweli SABABU kuifanya LIBYA ya 3 ni kichekesho; Walivurundwa na Wapiga Kelele Rais akapatikana

Chini ya Mtaro wale wanawake wababe walinzi wake hawajaonekana Mpaka leo; UNASEMA LIBYA ni ya # 3
 
Katika dunia ya sasa jeshi bora ni lile lenye intelejensia thabiti na siasa zisizo na vigugumizi
 
kama vp wa test na malawi tuone hyo tetesi yako
 
hivyo vifaa vya kisasa ni vile vilivyoagizwa na akina subbash patel, valambia, somaia chini ya mikataba iliyoingiwa na akina chenge? hapo kuna vifaa kweli? msidhani hili jeshi la sasa hivi la akina shimbo ni lile lilopigana vita la akina mayunga na walden!!!!!
 
Kweli Uache iwe Tetesi sio kweli SABABU kuifanya LIBYA ya 3 ni kichekesho; Walivurundwa na Wapiga Kelele Rais akapatikana

Chini ya Mtaro wale wanawake wababe walinzi wake hawajaonekana Mpaka leo; UNASEMA LIBYA ni ya # 3

Kwa sasa Libya hawana jeshi linaloweza kuitwa jeshi. wakati ule walikuwa na jeshi lakini makamanda wakanunuliwa na wamagharibi na pia NATO iliinyong'onyeza Libya na Majeshi yake. Mkuu unategemea ni.i uko vitani wakuu wa usalama wanakimbilia kwa adui?

Tukirudi kwenye thread ni kwamba kwa kifupi kabisa Jeshi letu liko Imara sana na kama alivyosema Annael hili jeshi linafundisha majeshi mengi hapa Afrika. Mambo mengine ni ya ndani zaidi naona Annael anataka kuchokonoa vitu vizito ambavyo hapa si mahala pake. Rest assured kwamba JWTZ ni jeshi imara na lenye nidhamu na uzalendo wa kutosha kuilinda mipaka ya nchi yetu.
 
Last edited by a moderator:
Inaonyesha wabongo tunapenda vita sana Mr Dhaifu angekuwa anaingia humu JF walai angeshatafuta hata vita ya kirafiki!!!!!!!
Nawashauri tu huu upendaji wa vita tuuhamishie kwenye vita ya ufisadi,umasikini na ujinga huwezi kuwa na jeshi imara hata siku moja kama uchumi wako upo hoi
 
So what kama ni ya sita kijeshi Afrika? Nafikiri ingekuwa vizuri kama ingekuwa ya sita katika Afrika au zaidi ya hapo kwa maana ya kuwa ya kwanza au ya pili baada ya kuboresha maisha ya wananchi(wenyenchi). Ni hatari sana ukielekeza fikra zako katika nguvu ya jeshi katika nchi. Military supremacy always leads to dictatorship. Tulinganishe ubora wa Jamii zetu katika maswala yaliyo endelevu,matumizi yenye manufaa ya mali asili tulizopewa na Mungu na nchi zingine katika Afrika lakini sio nguvu au ubora wa jeshi! Tusiwape manufaa wanaotengenza silaha na kutuuzia sisi ili tuuane vizuri kisha wao wachukue mali zetu. Chanzo hicho cha taarifa kinataka nini? Kuyafanya mataifa mengine ya kiafrika nayo yajitahidi kuwa bora kijeshi? Ili iwe nini? Bara letu AFRIKA. Think Big.
 
Back
Top Bottom