Uganda wana Ndege za Kivita za 4th Generation za Su-30, Ambazo wamenunua 6 Mwaka Jana.
Attack Helikopta ya Uganda, aina ya, Mi-24
Tanzania Bado tunazo Ndege za Kivita za Kivita Zilizopitwa na Wakati za J-7 na Migs za Zamani
Mwone Vasco Da Gama anavyoonyesha Kujivunia Ndege za Zamani. Ni Vizuri Kuipenda Nchi Yetu Lakini Kusifia Ujinga hakusaidii. Rais Wa Nchi Kama Rwanda anampiga Mkwara Mkwere wetu na anatoka Jasho. Ukitaka Kujua aibu Angalia Air Tanzania Tuna Ndege ngapi, hiyo ni Picha ya Kukuonyesha hali ya Ndege za Jeshi Letu. Hata Rada si Mnakumbuka walinunua Mbuvu? MNASIFIA UJINGA
Unaona Hizi Attack Helikopta za Kenya aina ya Mi-28 HAVOC, Sisi Tuna hata Attack Helikopta moja?
Najua Tanzania Wana Jeshi Kubwa Lenye Nidhamu, Vita Inaanzia angani, Anayeweza Kutawala Anga anachance kubwa zaidi ya Kushinda.
Hata Rwanda wanatushinda wanatumia F104.