Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,506
Tungekuwa mbali zaidi Kama tungekuwa hatuongozwi na mafisadi. Hawa wezi wameviza kasi yetu ya maendeleo.
weye unaishi dunia gani? Unasemaje marekani hakuna vita? Kule iraq, afghanistan, pakistan, libya, somalia nani anapigana kama si mmarekani?
Unasema india hakuna vita ivi hujui vita ya jimbo la kashmir na maeneo mengine kwenye mapigano ya kikabila na kidini ambako india inapigana?
Unasema china haina vita hujui kama ni juzi tu china ilikua inapigana na wanamgambo wa kiislam na hadi leo hakujawa stable?
Kama kweli tanzania inaweza kupigana na ijaribu kupigana na nchi kama ethiopia, misri au sudan ndo uone shughuli yake.

Lakini hii ndiyo isiwe sababu pekee ya kujihakikishia Ziwa Nyasa/Malawi ni letu. Ni lazima viongozi wetu wajue sheria na mikataba yote inayotudhibitishia uhalali wa kumiliku sehemu ya ziwa hilo. Kama wao watalianzisha, basi hatuna budi nasi kwa jeshi letu kujibu mapigo.
Swali la kujiuliza: Kwanini hawa watu wamekuwa na nguvu za kusema kuwa Ziwa ni lao angali mojadala ilikuwa ikifanyika na kukwama tangu miaka ya 60's. Lazima nyuma ya hawa jamaa kutakuwa na Taifa kubwa lililotayari kuwasaidia kivita.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
weye unaishi dunia gani? Unasemaje marekani hakuna vita? Kule iraq, afghanistan, pakistan, libya, somalia nani anapigana kama si mmarekani?
Unasema india hakuna vita ivi hujui vita ya jimbo la kashmir na maeneo mengine kwenye mapigano ya kikabila na kidini ambako india inapigana?
Unasema china haina vita hujui kama ni juzi tu china ilikua inapigana na wanamgambo wa kiislam na hadi leo hakujawa stable?
Kama kweli tanzania inaweza kupigana na ijaribu kupigana na nchi kama ethiopia, misri au sudan ndo uone shughuli yake.
Jeshi la tanzania ni moja ya majeshi imara kabisa barani Afrika.
Hii ni kwa sababu:-
1. Uzalendo wa wanajeshi wa tanzania
2. Mipango thabiti ya jeshi
3. Mfumo mzuri wa jeshi.
Huwa baada ya miaka miwili huwa kunafanyika gwaride la makomadoo wa afrika. Tanzania imekuwa ikishikilia nafasi ya pili na tatu kwa upande wa makomadoo.
Huenda wengine wakadhani nchi ya tanzania inaingilika kiulaini la hasha.
Ifuatayo ni jinsi majeshi yalivyo
1. Afrika ya kusini
2. Ethiopia
3. Libya
4. Misri
5. Ghana
na ya sita Tanzania.
Nchi ya Tanzania inafundisha majeshi mbalimbali Afrika
Kongo DRC, Uganda, Msumbiji vile vile nchi ya Kenya huwa inachukua mafunzo katika Jeshi la Tanzania.
Nchi ya tanzania mara nyingi hupata mafunzo ya kijeshi nje ya Afrika na sio Afrika maana tuko juu.
Nchi ya urusi na china ndio nchi ambazo mara nyingi tanzania hupata mafunzo
Naipenda TANZANIA
Kweli Uache iwe Tetesi sio kweli SABABU kuifanya LIBYA ya 3 ni kichekesho; Walivurundwa na Wapiga Kelele Rais akapatikana
Chini ya Mtaro wale wanawake wababe walinzi wake hawajaonekana Mpaka leo; UNASEMA LIBYA ni ya # 3
RUbbish
Na kwa dunia ni ya ngapi?
Nashauri tuombe vita ya kirafiki na Korea ya Kusini au Cuba manake tuna silaha zimeiva hadi zinatulipukia wenyewe!