Tanzania ni ya sita kijeshi Afrika


china na india, ****. hawa wachina walipigwa na wajapan kama kuku mpaka wakajenga ukuta wa kujilinda, hao wahindi wana kitu gani zaidi ya nyuklia? wamerekani tunawaona katika lethal operation duni
 
malawi wana uranium nyingi na tayari wamewapa wachina. inawezekana pesa ya uranium inawapa jeuri.
 
Waje tu hawa wamalawi, tutawakong'ota hadi lilongwe. Hatuna mchezo sisi.
 
kuna mnyarwanda hapo jirani yuko imara sana kijeshi,na ndio maana hapo r.d.c. hapakaliki.basi tu hajaamua kuleta balaa zake tz
 
Sikatai uwezekano wa JWTZ kuwa jeshi imara. Kinachonisikitisha ni sisi wabongo kupenda tetesi na habari za kuambiwa na si kutafiti ili tujue ukweli halisi wa jambo fulani na hili ndilo linalotutofautisha na wengine kwa mfano, hivi ni wangapi tunajua vizuri hata maana ya jina Tanganyika?Ni wangapi wanajua uwezo halisi wa JWTZ ukilinganisha na majeshi mengine Afrika - (Uwezo wa kupigana,idadi na ubora wa silaha,elimu ya vita etc?Ni wangapi wanajua kuwa mpaka unaoonyeshwa kwenye ramani za kimataifa (ukiachilia mbali ramani za kwetu) kati ya Malawi na TZ unapita kwenye shoreline upande wa TZ ? Tufanye utafiti na tujitambue na kujielewa sisi wenyewe kwanza kabla hata ya kuanza kurukia mambo yanayohusisha na wengine.
 
Na kwa dunia ni ya ngapi?
Nashauri tuombe vita ya kirafiki na Korea ya Kusini au Cuba manake tuna silaha zimeiva hadi zinatulipukia wenyewe!

Mkuu nimecheka sana hapo kwenye red,Jumapili yangu itaisha vizuri
 
Nigeria tumewazidi are you sure?

Jeshi lao halina nidhamu na limegawanyika kiudini. Angalia Boko Haram wanavyowasumbua. Vile vijamaa vya Niger Delta viliwapa tabu kweli!
 
kuna mnyarwanda hapo jirani yuko imara sana kijeshi,na ndio maana hapo r.d.c. hapakaliki.basi tu hajaamua kuleta balaa zake tz

Mkuu ni hakika. Haka kajeshi kao kako imara na kana nidhamu. Ukileta za kuleta unatupwa nje. Akina Kayumba Nyamwasa walileta za kuleta jamaa hakuangalia kama walikuwa wote msituni wala nini akawatema.
 
Habari za kijeshi kwenye mtandao wa kijamii? Kama ni hivyo basi hakuna siri.
 
tule teee! na list ya nafasi mambo mengine kama UFISADI, MIGOMO, RUSHWA, N.K
 
Nafikiri jamaa kaitoa list hiyo hapa:


Hayo ni mawazo ya mtu mmoja na wala hayakuwa substantiated na data za kuaminika.

Kila wakati huwa nina wasi wasi kuwa Rwanda wanaweza kuwa na jeshi imara kuliko sisi. Waliweza kuwadhibiti Wazimbabwe huko Kongo wakati wa mzee Kabila, na wana vyuo vyao vya kijeshi ambavyo vinaendeshwa kwa nidhamu ya hali ya juu sana. Nadhani Rwanda ndiyo nchi pekee katika eneo la Afrika ya Mashariki na kati ambayo haijawahi kuleta maafisa wake kusomea Monduli kwa vile wnaona Monduli kama substandard.
 

Mkuu hii inatusaidia nini kufikia lengo la maisha bora kwa kila Mtanzania?
 
Bora kivipi mapigano au vifaa. But any way jwtz ni jeshi imara ebu tufikiri kidogo kwamba leo mtu anaenda kwa jirani kupiga stori anasafiri anafanya biashara ana uhuru hata wa kumtukana rais na akaachiwa hii yote according to jwtz pasipo ulinz imara tusingekuwa hapa pengine watanzania leo tungeitawa wakimbizi. Wakat wewe unalala usingizi mzito jeshi la wanaume wanakesha mipakani kulinda amani na hii kila siku iendayo kwa Mungu hawa guys wanakesha. Sawa kuna mapungufu lakn hapa tulipofika tulisifie jeshi letu..Mugabe alisema mkombozi wa africa co mandela ni nyerere. So what u think. Nyerere alikuwa haend vitani wanaoenda ni jwtz so fikiri km tusingekuwa na jeshi imara lenye mafunzo mazuri unadhani leo mugabe angesema nyerere ni mkomboz wa africa. Ugumu wa maisha na siasa tusichanganye na jexhi. Kazi ya jeshi ni ulinzi tu na co kuboresha maisha keep it up
 
American hawana vita isipokuwa wanavamia nchi nyingine. Nchi isiyokuwa na vita inakuwa na jeshi imara coz wanapata muda wa kuzalisha vijana wanaojiunga na jeshi pia wanapewa mafunzo ya kutosha. Na kufanya operation mbalimbali kam comoro.lebanon.congo.na kote huko wanafanya vizuri
 
Kama kweli lijeshi letu ni la 6 africa, ebu tujaribu kuichokoza Rwanda au kuwanyang'anya malawi ziwa nyasa!!!!....
 
1. Source yako haiaminiki
2. Misri wana jeshi hatari waweza fuatilia hata bajet yao ya jeshi inazidi ya east africa combined hivo wanachuana na s. Aftica... misri wanaweza stand vita na israel na wanajeshi kubwa na well trained....
3. Usiwabeze nijeria pamoja na shida zao na boko haram....
 
Dah umeongea kitu cha msingi sana big up
 
Misri wanapewa na kusaidiwa kifedha sana na wamarekani.
Libya is a failed state.
South africa wao ni vifaa tu.Sijui kuhusu nyingine ila jwtz tuko juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…