Tanzania ni ya sita kijeshi Afrika

mhhh nna wasiwasi na source yako mkuu...morroco,algeria na angola nchi hizi hazipo kwe hio list yako kweli??? yaani morroco na warships zile na merican fighter jets zote zile ma F-16 KIBAO still wako nyuma ya TZ??au hii list ni ya mwaka 1975????
 
Kama kweli lijeshi letu ni la 6 africa, ebu tujaribu kuichokoza Rwanda au kuwanyang'anya malawi ziwa nyasa!!!!....
 
Kwa nini hao wanajeshi wasizuie mauaji ya albino hapa tz?
 
Hii story ina nikumbushe wakati nilipokuwa teenager nilikuwa naamini Tanzania inaongozq duniani kwa upelelezi
 
Mie naamini kwny Masuala ya Usalama wa Taifa yuko vizuri sana kimfumo, huenda tukawa hata wa tatu Africa.
 
aina maana kua na jeshi bora.alafu wananchi wanalialia tu.ethopian wanaongiza kwa kila nyanja.hawana bahari hawana mbuga wala ges.ila wako poa.cc tungekua wao ingekua vipi
 

Nusura nianze kuamini lakini ulipoweka Libya nikaona kumbe taarifa yenyewe ni uzushi
 
Ila hapo kwa Libya mkuu utakuwa umekosea labda tuweke..Liberia..
toeni porojo. japo naamini jeshi letu ni zuri taarifa hii inatia mashaka. nchi kama libya wala haina jeshi limesambaratika halafu eti linapewa nafasi ya juu. wakati wa vita na uganda tuliona jinsi askari wa khadafi walivyopokea kichapo toka jwtz na jinsi walivyotekwa kirahisi kwa wingi.
 
Pasipo kuwa na vifaa vya kisasa na madhubuti hata ungekuwa na wapiganaji hodari vipi huwezi archive kitu katika battlefield firstly vifaa vyetu viko outdated 1960 na 1970s just refurbished piece of equipment so let not cheat one onether
 
Wenzetu wako katika kuwa na military hardware za 5th generation while we are heavily relied to the mig21 while other country aquare mig35 it's earth and heaven we compered
 
Si ndiyo kazi yao waliomba kazi ya jeshi ya nn
 
Annael said:
Nilizipata toka ndani ya jeshi. Na Jeshi linavifaa vya kisasa kabisa.
Ulipoandika Libya ya 3 nchi isiyokuwa na jeshi wala serikali thabiti nikajua umechanganyikiwa, kalale bana unatuzingua
 

Tuombe game na kenya tu nyie msidanganywe na wapasua tofari
 
Sina uhakika!! Ndio Wahabeshi wangekuwa wana jipenyeza kilaini tena kwa mamia kisha wana kamatiwa katikati ya nchi?hivi kama wangekuwa ndio alqueda au alshabab inge kuwaje? haya
 
Uganda wana Ndege za Kivita za 4th Generation za Su-30, Ambazo wamenunua 6 Mwaka Jana.


Attack Helikopta ya Uganda, aina ya, Mi-24



Tanzania Bado tunazo Ndege za Kivita za Kivita Zilizopitwa na Wakati za J-7 na Migs za Zamani


Mwone Vasco Da Gama anavyoonyesha Kujivunia Ndege za Zamani. Ni Vizuri Kuipenda Nchi Yetu Lakini Kusifia Ujinga hakusaidii. Rais Wa Nchi Kama Rwanda anampiga Mkwara Mkwere wetu na anatoka Jasho. Ukitaka Kujua aibu Angalia Air Tanzania Tuna Ndege ngapi, hiyo ni Picha ya Kukuonyesha hali ya Ndege za Jeshi Letu. Hata Rada si Mnakumbuka walinunua Mbuvu? MNASIFIA UJINGA



Unaona Hizi Attack Helikopta za Kenya aina ya Mi-28 HAVOC, Sisi Tuna hata Attack Helikopta moja?


Najua Tanzania Wana Jeshi Kubwa Lenye Nidhamu, Vita Inaanzia angani, Anayeweza Kutawala Anga anachance kubwa zaidi ya Kushinda.

Hata Rwanda wanatushinda wanatumia F104.
 

Sio Kweli Kwa Tathmini za 2016 juzi tu, Tanzania Ni ya 24, Kenya Ikiwa ya 8 na Uganda ya 11 Kwa Upande wa Afrika. Kwa Dunia Nzima Kati ya Nchi 126 Duniani zilitathminiwa Tanzania inashika nafasi ya 120 huku Kenya Ikishika nafasi ya 68, Uganda ya 91 Kwa hivyo Sijui Hizo Data Umepewa na Nani ila sio za Kweli. Kale Kanchi ka Comoro ambako Mkwere alipeleka Majeshi Kati ya nchiza zilizotathminiwa 30 za Africa hata hakapo. Malawi nayo haipo kati ya 30 bora Ndio maana tukawatisha tisha. Rwanda Nayo Haipo, Lakini Unajua Kwanini Tanzania kwa sasa Inaiogopa Rwanda? Ukiingia Vita na Rwanda Kagame anaweza Kupata Msaada wa Kisiri siri au wa Kiwaziwazi Kutoka kwa Museven maana wale Ni Damu-damu.

African Military Power
2016 World Military Powers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…