stormryder
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 3,776
- 5,786
Huu utafiti ni wa lini? Maana sijui kama Libiya inajeshi kwa sasa na linasifa kuzidi jeshi la Tanzania. Tafiti hii tuijue lengo la kufanywa kwake na walioifadhili.Jeshi la tanzania ni moja ya majeshi imara kabisa barani Afrika.
Hii ni kwa sababu:-
1. Uzalendo wa wanajeshi wa tanzania
2. Mipango thabiti ya jeshi
3. Mfumo mzuri wa jeshi.
Huwa baada ya miaka miwili huwa kunafanyika gwaride la makomadoo wa afrika. Tanzania imekuwa ikishikilia nafasi ya pili na tatu kwa upande wa makomadoo.
Huenda wengine wakadhani nchi ya tanzania inaingilika kiulaini la hasha.
Ifuatayo ni jinsi majeshi yalivyo
1. Afrika ya kusini
2. Ethiopia
3. Libya
4. Misri
5. Ghana
na ya sita Tanzania.
Nchi ya Tanzania inafundisha majeshi mbalimbali Afrika
Kongo DRC, Uganda, Msumbiji vile vile nchi ya Kenya huwa inachukua mafunzo katika Jeshi la Tanzania.
Nchi ya tanzania mara nyingi hupata mafunzo ya kijeshi nje ya Afrika na sio Afrika maana tuko juu.
Nchi ya urusi na china ndio nchi ambazo mara nyingi tanzania hupata mafunzo
Naipenda TANZANIA
Utapigana wewe? Achaga usengeKama kweli lijeshi letu ni la 6 africa, ebu tujaribu kuichokoza Rwanda au kuwanyang'anya malawi ziwa nyasa!!!!....
Unauhakika Rwanda haileti maafisa wake kupata mafunzo Tanzania (monduli)?Nafikiri jamaa kaitoa list hiyo hapa:
Hayo ni mawazo ya mtu mmoja na wala hayakuwa substantiated na data za kuaminika.
Kila wakati huwa nina wasi wasi kuwa Rwanda wanaweza kuwa na jeshi imara kuliko sisi. Waliweza kuwadhibiti Wazimbabwe huko Kongo wakati wa mzee Kabila, na wana vyuo vyao vya kijeshi ambavyo vinaendeshwa kwa nidhamu ya hali ya juu sana. Nadhani Rwanda ndiyo nchi pekee katika eneo la Afrika ya Mashariki na kati ambayo haijawahi kuleta maafisa wake kusomea Monduli kwa vile wnaona Monduli kama substandard.
kwa hiyo unakubali kwamba jwtz limefanikiwa ktk sector yake ya ulinziSi ndiyo kazi yao waliomba kazi ya jeshi ya nn
Halijafanikiwa kabisa tunajilinda ss wenyewe wananchikwa hiyo unakubali kwamba jwtz limefanikiwa ktk sector yake ya ulinzi
Hii ripoti ni ya ajabu sana falcon mombasa sijui ulipita pande hizi??Jeshi la tanzania ni moja ya majeshi imara kabisa barani Afrika.
Hii ni kwa sababu:-
1. Uzalendo wa wanajeshi wa tanzania
2. Mipango thabiti ya jeshi
3. Mfumo mzuri wa jeshi.
Huwa baada ya miaka miwili huwa kunafanyika gwaride la makomadoo wa afrika. Tanzania imekuwa ikishikilia nafasi ya pili na tatu kwa upande wa makomadoo.
Huenda wengine wakadhani nchi ya tanzania inaingilika kiulaini la hasha.
Ifuatayo ni jinsi majeshi yalivyo
1. Afrika ya kusini
2. Ethiopia
3. Libya
4. Misri
5. Ghana
na ya sita Tanzania.
Nchi ya Tanzania inafundisha majeshi mbalimbali Afrika
Kongo DRC, Uganda, Msumbiji vile vile nchi ya Kenya huwa inachukua mafunzo katika Jeshi la Tanzania.
Nchi ya tanzania mara nyingi hupata mafunzo ya kijeshi nje ya Afrika na sio Afrika maana tuko juu.
Nchi ya urusi na china ndio nchi ambazo mara nyingi tanzania hupata mafunzo
Naipenda TANZANIA
basi endelea kujilinda mkuuHalijafanikiwa kabisa tunajilinda ss wenyewe wananchi
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Annael...hizi tetesi umezipata wapi mkuu??! Au wewe ni memba wa jwtz??!
lazima ujipe raha hata kama ungesema ni ya kwanza sawa tu!
ishu nyeti kama hii unaileta chini ya usimamizi wa 'tetesi'????
Na olimpik mlienda kwa tetezi mmerudi na tetesi za medali.
Nimesema jipe raha hata ukisema ni ya kwanza hatutakubishia.
Ndio hivyo.
Poa basi
Jeshi lolote lisilo na vita ni bora hakuna pa kulipima uwezo na silaha zake.Litakapoingia katika vita na kugundua ya kua silaha na vifaa vingi za kivita zimeisha expire hapo ndio tutajua!Milipuko ya mabomu gongo la mboto na mbagala ni mfano.
Tungekuwa mbali zaidi Kama tungekuwa hatuongozwi na mafisadi. Hawa wezi wameviza kasi yetu ya maendeleo.
RUbbish
Katika dunia ya sasa jeshi bora ni lile lenye intelejensia thabiti na siasa zisizo na vigugumizi
hivyo vifaa vya kisasa ni vile vilivyoagizwa na akina subbash patel, valambia, somaia chini ya mikataba iliyoingiwa na akina chenge? hapo kuna vifaa kweli? msidhani hili jeshi la sasa hivi la akina shimbo ni lile lilopigana vita la akina mayunga na walden!!!!!
kuna mnyarwanda hapo jirani yuko imara sana kijeshi,na ndio maana hapo r.d.c. hapakaliki.basi tu hajaamua kuleta balaa zake tz
Kwa nini hao wanajeshi wasizuie mauaji ya albino hapa tz?
aina maana kua na jeshi bora.alafu wananchi wanalialia tu.ethopian wanaongiza kwa kila nyanja.hawana bahari hawana mbuga wala ges.ila wako poa.cc tungekua wao ingekua vipi
Pasipo kuwa na vifaa vya kisasa na madhubuti hata ungekuwa na wapiganaji hodari vipi huwezi archive kitu katika battlefield firstly vifaa vyetu viko outdated 1960 na 1970s just refurbished piece of equipment so let not cheat one onether
Wenzetu wako katika kuwa na military hardware za 5th generation while we are heavily relied to the mig21 while other country aquare mig35 it's earth and heaven we compered
Wengine wa even stealth fighter jet je twaweza jilinganisha nao
Sina uhakika!! Ndio Wahabeshi wangekuwa wana jipenyeza kilaini tena kwa mamia kisha wana kamatiwa katikati ya nchi?hivi kama wangekuwa ndio alqueda au alshabab inge kuwaje? haya
Uganda wana Ndege za Kivita za 4th Generation za Su-30, Ambazo wamenunua 6 Mwaka Jana.
Attack Helikopta ya Uganda, aina ya, Mi-24
Tanzania Bado tunazo Ndege za Kivita za Kivita Zilizopitwa na Wakati za J-7 na Migs za Zamani
Mwone Vasco Da Gama anavyoonyesha Kujivunia Ndege za Zamani. Ni Vizuri Kuipenda Nchi Yetu Lakini Kusifia Ujinga hakusaidii. Rais Wa Nchi Kama Rwanda anampiga Mkwara Mkwere wetu na anatoka Jasho. Ukitaka Kujua aibu Angalia Air Tanzania Tuna Ndege ngapi, hiyo ni Picha ya Kukuonyesha hali ya Ndege za Jeshi Letu. Hata Rada si Mnakumbuka walinunua Mbuvu? MNASIFIA UJINGA
Unaona Hizi Attack Helikopta za Kenya aina ya Mi-28 HAVOC, Sisi Tuna hata Attack Helikopta moja?
Najua Tanzania Wana Jeshi Kubwa Lenye Nidhamu, Vita Inaanzia angani, Anayeweza Kutawala Anga anachance kubwa zaidi ya Kushinda.
Hata Rwanda wanatushinda wanatumia F104.
kupasua tofali na kupiga vijiti mateke mbona ni sarakasi zinazoweza kufanywa pia na Muungano cultural group!
Sio Kweli Kwa Tathmini za 2016 juzi tu, Tanzania Ni ya 24, Kenya Ikiwa ya 8 na Uganda ya 11 Kwa Upande wa Afrika. Kwa Dunia Nzima Kati ya Nchi 126 Duniani zilitathminiwa Tanzania inashika nafasi ya 120 huku Kenya Ikishika nafasi ya 68, Uganda ya 91 Kwa hivyo Sijui Hizo Data Umepewa na Nani ila sio za Kweli. Kale Kanchi ka Comoro ambako Mkwere alipeleka Majeshi Kati ya nchiza zilizotathminiwa 30 za Africa hata hakapo. Malawi nayo haipo kati ya 30 bora Ndio maana tukawatisha tisha. Rwanda Nayo Haipo, Lakini Unajua Kwanini Tanzania kwa sasa Inaiogopa Rwanda? Ukiingia Vita na Rwanda Kagame anaweza Kupata Msaada wa Kisiri siri au wa Kiwaziwazi Kutoka kwa Museven maana wale Ni Damu-damu.
African Military Power
2016 World Military Powers
Halijafanikiwa kabisa tunajilinda ss wenyewe wananchi
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
kawadanganye DIVISION 5 na hiyo ripoti yako.
Picture this-This is a joke, wakati MTU jeshini anaweza kukimbia na laptop yenye siri za jeshi, na wakashindwa kumkamaka. Hapa hakuna kitu.
mpka liniPicture this-
1. Waethiopia wanakatiza mipakani mwetu kana kwamba hakuna wakuilinda, jeshi lipo wapi?sipati picha alshabab au Isis wakikatiza. Military intelligence is zero.
2. Mkuu wa majeshi ana escort, Mlinzi analindwa na Mlinzi, hii ni komedi.
3. Jeshi linasadikiwa kumiliki ndege chache na za zamani, miaka ya 1960.
4. Afisa wa jeshi anayeshukiwa kuwa ni shushu wa kagame , anatoroka na laptop yenye taarifa nyeti za kijeshi.
5. Maafisa waandamizi wa jeshi wanakutwa na akaunti za fedha nje ya nchi zenye matrilioni ya shilingi.
6. Mabomu yanalipuka katika maeneo ya gongo la mboto na mbagala, mabomu hayo yanasadikiwa ku-expire.
Itaendelea....