MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,565
- 843
- Thread starter
-
- #81
kinachoendelea leo ni dhambi ya kumnyima uongozi JK nchi isingefika katika hali hii tuliyonayo ss ya watu kujiuzia wao na kusahau ,mamilioni ya wenzao
Mkuu Mkandara heshma mbele,Yeah, inategemea wewe unautazama vipi Udini kwa sababu Malima alichoandika wala sio kusema ni kuonyesha imbalance ktk elimu na jinsi Waislaam na wanawake walivyokuwa hawapewi nafasi sawa na vijanwa kikristu kuendelea na masomo hata kama wanatoka shule moja.. Na kibaya zaidi yeye alikuwa waziri wa Elimu lakini sisi wote tulimpiga vita pamoja na kwamba alikuwa na report kamili yenye ushahidi wa kuonyesha kutokuwepo uuwiano huo...
Sasa nambie kwa nini hatukufanya hata uchunguzi kuitazama report yake badala yake alikuwa akihojiwa tu ili kuonyesha jionsi gani alivyokuwa mdini ktk kutetea report yake ambayo iliwahusu both waislaam na wanawake..Halafu utawasikia watu kama Boss wanasema nakuja na malalamiko hali It is a report for Christ sake na ndio tunaizungumzia na ndio ilikuwa kazi alopewa Malima kuifanya akiwa kama waziri wa elimu.. Sasa kasema hakuna uuwiano na utafiti anao tayari akapachikwa Udini ipi habari kamili ama malalamiko, besides no one could prove him wrong hadi leo hii tunazungumza hapa JF!
wenzako wanapost point wewe unapost pumba. Toa kinyesi chako hapa.Kilichojitokeza ni kwamba wale wafuasi wa Msuya walimwunga mkono Che Nkapa na wale Wazenj walikuwa wamepewa maelekezo na Komandoo Salimin (alikuwa bado anakipindi kimoja cha kukaa madarakani) kwamba wasithubutu kumchagua "Play Boy - Kikwete". Kwa hiyo hata Komandoo hakutaka kuwa chini ya Kikwete
samahani wakuu sio lengo langu ila kuna watu wengine wanaleta michango isio na maana. unajikuta unafuata mtiririko halafu mtu anapost pumba btn, inaudhi sana. Ila all in all nimejua mengi sana ambayo nilikuwa siyajui. Unajua kwenye thread kama hii tunahitaji fact na mtu mwenye data za uhakika na sio kuweka mawazo ya kile mtu anachojisikia tu.Thanks for your constructive thread.Wakuu JMushi1 na Ngwendu....potezea jamani mjadala uendelee.
Je Benjamin Mkapa alipo shinda uraisi alimpa JK kama compromise ili wafuasi wa JK wasikatae kuisaidia CCM wakati wa kampeni? Kwa maana naamini JK kupewa uwaziri na Mkapa haikuwa bahati mbaya.
Mkuu heshima kwako, sikuwa na maana ya kukusahihisha ila nilikuwa naongezea maarifa kama si kukumbushana baadhi ya mambo. Naheshimu mawazo yako na kusudio lako la kutaka tujikumbushe ni nini kilichochijiri wakati ule ili tuwe na la kujifunza kama si kuwafundisha watoto na vijukuu vyetu vitakavyozaliwa Tanzania kama si Tanganyika (ikiwa vita ya kuirudisha itashinda).Asante kwa kunisahihisha mkuu.
Je Benjamin Mkapa alipo shinda uraisi alimpa JK kama compromise ili wafuasi wa JK wasikatae kuisaidia CCM wakati wa kampeni? Kwa maana naamini JK kupewa uwaziri na Mkapa haikuwa bahati mbaya.
...........
4.Kwenye mdahalo wa Wagombea Bwana Mapesa alikuja na Slogan ya kuwajaza manoti Watanzania.
Mfumwa,shukrani sana.Nami nichangie kidogo. Mwaka huo pia alikuwepo mwana mama aliyechukua fomu, naye alikuwa ni Bi. Rose Lugendo. Ila alipata wakati mgumu alipoingia kwa usaili mbele ya Nyerere.
Kama alivyosema Mkandala, Nyerere alimuomba Dk. Salim aje agombee, wakati huo Salim alikuwa Katibu Mkuu wa OAU. Salim alikubali na kuja Tanzania. Lakini jungu lilianzishwa na Mama Getrude Mongella kuwa nchi hii haiwezi kutawaliwa na Mwarabu. Na hili alilizungumza mpaka kwa Nyerere, akiungana na baadhi ya watu mashuhuri wa CCM toka Bara na waliowengi toka Visiwani. Salim ikabidi asichukue fomu na kurudi Addis Ababa.
Kuhusu Malima, alipoenguliwa CCM alihamia NRA (National Reconstructive Alliance), habari za kujitoa CCM zilisikika kwa Nyerere. Aliitwa na Nyerere na aliombwa kuwa kujitoa kwake CCM kunaweza kukitingisha chama (kumbuka alikuwa nguzo muhimu wakati wa kupigania uhuru). Alikataa na akapanga kujitoa CCM akiwa Tabora, alikata tiketi ya ATC, na alipofika Airport, akaambiwa ndege imejaa, ikabidi asafiri na gari lake hadi Tabora. Akajitoa CCM na kujiunga na NRA, na kubadilisha kifupi cha jina la chama toka NRA kuwa NAREA. Alifariki katika mzingira ya kutatanisha London kabla ya uchaguzi.
Mkuu umesema Malima alihusishwa na NRA chama chenye msimamo mkali cha kiislaam. Hivi kweli unaweza kunipa mahusiano ya NRA na Uislaam? na vitu gani walivyokuwa wakipigania (sera na Ilani) na kadhalika. Binafsi nimeyasikia sana haya madai na ningependa sana kupewa historia ama picha nzima ya chama cha NRA, uongozi wake sera za na mwisho uhusiano baina ya Malima na hicho chama cha kidini...Na labda mtu anipe investigative report inayoonyesha Kighoma Malima alikuwa both Muislaam mwenye siasa kali pia aliharibu wizara ya elimu na fedha..Mkuu Mkandara heshma mbele,
Issue ya malima si pia alihusishwa na kile chama cha NRA ambacho kilikuwa cha msimamo mkali cha kiislam?Pia zile habari za kuagizwa kwa majambia kutoka Iran zilikuwa za kweli?Naomba kusahihishwa.
Nakubaliana na utafiti alioufanya,however naamini alikuwa radical.
Kwenye nyekundu kuna uzi mmoja ulikuwa ukiendelea wiki kadha zilizopita waweza tafuta ukapata ilikuwa kuwaje na kwanini ilivuma maramoja kisha baadaye kupotezewa kwa Mzee JSM kuitwa Jumanne.Mkandara, The Boss, Jasusi na Joka Kuu,Inaonekana mna kumbukumbu nzuri sana ya uchaguzi wa 1995. Nakumbuka kwa mbali kuhusiana na issue ya NRA na Malima. Is there anyhting you guys remember on that issue? Pamoja na issue nyingine za Iran,pamoja na ile ya kudai Mzee Malecela kubadili dini na kuwa sasa jina lake ni jumanne nk.Je haya yalikuwa propaganda za magazeti na kupakana matope ama kuna ukweli ndani yake?Natanguliza shukrani.Angalizo:Kwa ambaye hajapenda maswali yangu na ikiwa sijayaelekeza kwake,basi naomba apotezee ama aniweke kwenye ignore list yake badala ya kuharibu thread kwa maneno machafu.
Alifariki katika mzingira ya kutatanisha London kabla ya uchaguzi.
Mkuu umesema Malima alihusishwa na NRA chama chenye msimamo mkali cha kiislaam. Hivi kweli unaweza kunipa mahusiano ya NRA na Uislaam? na vitu gani walivyokuwa wakipigania (sera na Ilani) na kadhalika. Binafsi nimeyasikia sana haya madai na ningependa sana kupewa historia ama picha nzima ya chama cha NRA, uongozi wake sera za na mwisho uhusiano baina ya Malima na hicho chama cha kidini...Na labda mtu anipe investigative report inayoonyesha Kighoma Malima alikuwa both Muislaam mwenye siasa kali pia aliharibu wizara ya elimu na fedha..
Mkuu wangu hivi huoni kama kila kitu kinajirudia rudia - dejavu..
Dr.Slaa hadi kufikia mwaka 2009 alikuwa hero wa kila mtu, Sii waislaam wala wakristu lakini siku aloonesha nia yake ya kugombea Urais ndipo Upadre wake ulipotangazwa na nia mbaya ya Chadema katika kuupiga vita Uislaam simply 'because JK ni Muislaam.. Sasa habari kama hizi zitakwenda hadi kwa vijana watoto zenu ambao watakuja hadithia jinsi Dr.Slaa alivyokuwa mdini pamoja na kwamba hakuna hata siku moja amezungumzia Uislaam na Ukristu ila kosa lake ni kuikosoa serikali ya CCM..Malima pia alikuwa one of the best of ministers hadi siku alipozungumzia hali ya elimu nchini kukikosoa chama tawala.
Na mchezo huu umechezwa kwa viongozi woote walijaribu kukikosoa chama tawala toka Malecela ambaye alizushiwa hadi kuhama dini kuingia Uislaam na ati anaitwa Jumanne.. kila alojaribu kukisaliti chama au kuweka upinzani mkubwa na chama tawala Udini ulitumika kumdhoofisha...
Na lazima mkuu wangutukubali kwamba marais huandaliwa, hizi habari za kufikiria kwamba mtu unaweza tu kuibuka mshindi na kuwa rais wa nchi kwa kupitia demokrasia ni kuzidanganya nafsi zetu. Na wote hawa toka kina Kolimba, Malima, Mwaikambo na wengineo wameondolewa kwa sababu they knew too much of the system na siku walipojaribu kuhama ndio walijichimbia kaburi lao.. Na nitasema tena hakuna mtu anaweza kushika madaraka ya Urais kama hayupo ktk system. Viongozi huandaliwa na mara zote lazima kuna mahusiano mkubwa na vyombo vya usalama. Nani huwaandaa kwa tanzania kusema kweli sijui ila nafahamu kwamba lazima rais aandaliwe na akubalike na system.
Nitaendelea kusema tu kwamba, habari zoote zinazohusiana na udini ni habari ya kutunga ili kuogopesha wananchi. Tanzania hatuna hofu ya Ukabila na hakuna dalili za machafuko ya kijamii isipokuwa kwa kupitia DINI..Hapa ndipo pekee siasa za majitaka zinaweza kupata nguvu ya kuwajaza hofu (fear) wananchi..Nothing scares us most kama vita, na hakuna sababu nyingine tunayohofia zaidi ya Udini. Na CCM are masters wa kupandikiza mbegu za Udini kwa sababu haiwezekani NRA wakawa waislaam wenye siasa kali, CUF ni chama cha waislaam halafu Chadema leo ndio chama cha Wakristu - What a coincidence!