Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa Karibu nakuombea sanaangalau mtu ninayemuheshimu kajitokeza ku comment,by the way kaka najua hapa wengi wananichukulia mtu wa mizaha niko makini sana,soon napata article kwenye gazeti kuandika kuhusu ishu za ajabuajabu dunia hii ,nitakucheki private,nataka niondoe ile reputation yangu ya mizaha na deal na kuelimisha jamii yetu ya wajinga,niko vizuri kichwani
Nami nlikua najiuliza kazi ya followers ni nini make wanatafutwa kwa nguvu, kumbe account ikiwa na followers wengi ndo mtu anaanza matangazo ya biashara na mwenye tangazo analipia elf 40 kwa tangazo.Kwani followers wanawaongezea ugali???
Usishangae kukuta instagram Mbwana Samatta ana followers 81,000 tena wameongezeka juzi sababu ya hype ya karibuni,Ulimwengu Thomas ana 66,000 na yule daktari wetu aliye Marekani aliyegundua detection ya cancer,somebody Malima hutashangaa kukuta ana followers 100.
Sasa this is where it gets crazy kina Shilole,Wema ,Aunt Ezekiel ni zaidi ya followers laki 8
wasutaji wakubwa kama kina Mange Kimambi,Tunda 76,Mrekebisha tabia,Baby_ake,duller square ni zaidi ya followers 150,000.
Huko Kenya yule jamaa tall wa the talented Sauti sol ana followers 30,000
ushagundua sisi ni watu wa aina gani?
GOD tusaidieeeeeeeee
uko sahihiHii ni matunda ya ccm. Kuua elimu, na BRN!.
na umuhimu wa watu ktk jamii,..tz hawayajui hayofollowers ina reflect ni watu wa aina gani...bila shaka hata dr Asanterabi malima humjui..damn you idiot humjui,unajua mashairi ya shilole tu
Kwamba, who are we following most?Aibuuu Kisa followers??? Hauko serious mkuu
go hard,..elimisha jamii ni vizur..,,..waviv wa kufikiliangalau mtu ninayemuheshimu kajitokeza ku comment,by the way kaka najua hapa wengi wananichukulia mtu wa mizaha niko makini sana,soon napata article kwenye gazeti kuandika kuhusu ishu za ajabuajabu dunia hii ,nitakucheki private,nataka niondoe ile reputation yangu ya mizaha na deal na kuelimisha jamii yetu ya wajinga,niko vizuri kichwani
wanasema utandawaz,.....wakati ni ujinga na matope vchwani,..Mkuu maatope umesema yote!! Kuna accounts nyingi mno za kufollow tena zenye kuongeza maarifa na kupanua Ubongo! The only thing wa Tz (wengi wao) wanafata zile chafu na zile za ngono na kuna hizi account nyingine wale wanajiita sijui makungwi original wanafundishana how to handle d**KS & p***y! It's a shame kwa kweli vijana wengi sana wamegeuza ngono as part n parcel ya majukumu yao ya kila siku! Maadili yanashuka kila sekunde ipitayo!