Tanzania ni zaidi uijuayo..aibuuuuuu

Tanzania ni zaidi uijuayo..aibuuuuuu

Hii ni aibu kubwa sana kwa Tz yani hata mimi huwa napata shida sana niki click kwenye discovery
 
Mkuu maatope umesema yote!! Kuna accounts nyingi mno za kufollow tena zenye kuongeza maarifa na kupanua Ubongo! The only thing wa Tz (wengi wao) wanafata zile chafu na zile za ngono na kuna hizi account nyingine wale wanajiita sijui makungwi original wanafundishana how to handle d**KS & p***y! It's a shame kwa kweli vijana wengi sana wamegeuza ngono as part n parcel ya majukumu yao ya kila siku! Maadili yanashuka kila sekunde ipitayo!
 
angalau mtu ninayemuheshimu kajitokeza ku comment,by the way kaka najua hapa wengi wananichukulia mtu wa mizaha niko makini sana,soon napata article kwenye gazeti kuandika kuhusu ishu za ajabuajabu dunia hii ,nitakucheki private,nataka niondoe ile reputation yangu ya mizaha na deal na kuelimisha jamii yetu ya wajinga,niko vizuri kichwani
Poa Karibu nakuombea sana
 
Ila kweli niliona kwenye account ya CNN wakitukanana ukawa na sisiem hadi aibu mfano mwingine fergie wa BEP.
 
Kwani followers wanawaongezea ugali???
Nami nlikua najiuliza kazi ya followers ni nini make wanatafutwa kwa nguvu, kumbe account ikiwa na followers wengi ndo mtu anaanza matangazo ya biashara na mwenye tangazo analipia elf 40 kwa tangazo.
Kuna siku nliona mtu anatangaza kuwa anauza account yake ina followers wengi tayari yani nlicheka
 
mkuu hivi huyu Baby_ake ni mtanzania??kuna wakati alikuwa anauza wanawake wenzie kwenye page yake tena wazi wazi,isee nimeshangaa sana

Usishangae kukuta instagram Mbwana Samatta ana followers 81,000 tena wameongezeka juzi sababu ya hype ya karibuni,Ulimwengu Thomas ana 66,000 na yule daktari wetu aliye Marekani aliyegundua detection ya cancer,somebody Malima hutashangaa kukuta ana followers 100.

Sasa this is where it gets crazy kina Shilole,Wema ,Aunt Ezekiel ni zaidi ya followers laki 8
wasutaji wakubwa kama kina Mange Kimambi,Tunda 76,Mrekebisha tabia,Baby_ake,duller square ni zaidi ya followers 150,000.

Huko Kenya yule jamaa tall wa the talented Sauti sol ana followers 30,000
ushagundua sisi ni watu wa aina gani?

GOD tusaidieeeeeeeee
 
angalau mtu ninayemuheshimu kajitokeza ku comment,by the way kaka najua hapa wengi wananichukulia mtu wa mizaha niko makini sana,soon napata article kwenye gazeti kuandika kuhusu ishu za ajabuajabu dunia hii ,nitakucheki private,nataka niondoe ile reputation yangu ya mizaha na deal na kuelimisha jamii yetu ya wajinga,niko vizuri kichwani
go hard,..elimisha jamii ni vizur..,,..waviv wa kufikili
 
Mkuu maatope umesema yote!! Kuna accounts nyingi mno za kufollow tena zenye kuongeza maarifa na kupanua Ubongo! The only thing wa Tz (wengi wao) wanafata zile chafu na zile za ngono na kuna hizi account nyingine wale wanajiita sijui makungwi original wanafundishana how to handle d**KS & p***y! It's a shame kwa kweli vijana wengi sana wamegeuza ngono as part n parcel ya majukumu yao ya kila siku! Maadili yanashuka kila sekunde ipitayo!
wanasema utandawaz,.....wakati ni ujinga na matope vchwani,..
 
Mleta mada, kama unafikiri watanzania ni wapuuzi kwasababu Dk. somebody Malima (kama ulivyomuita) hana followers wengi huko Instagram basi umechemka vibaya. Sasa tutajie mwanasayansi gani wa huko Marekani mwenye followers wengi kwenye mitandao ya kijamii aliyemzidi Beyonce? Fanya research vizuri kabla ya kuja na matusi yako hapa JF.
 
Kitu kingine: Jokes kama hizi ni kawaida wala zisiwaumize kichwa, hata sisi mbona tuna matani tofauti tunaongea kuhusu wakenya au wamakonde wa Msumbiji? Ni kawaida kundi moja la watu kuwatania wengine ali mradi kusiwe na mfarakano, lakini at the end of the day sisi sote ni ndugu.

ig1.jpg
 
Marekani kwa instagram wakina Taylor swift, Selena gomez, kim kadarshian, beyonce, justin bieber ndio wanatikisa kinoooma kwa followers

Twitter unakuta wakina Milley, Justin bieber, Taylor swift wanaongoza hukoo

Ukija facebook utakuta cristiano ronaldo, shakira, messi, rihanna wanatikisa

So ishu haipo tanzania pekee ipo duniani kiujumla, angalia hata youtube views globally utakuta vitu unavyoona havina umuhimu saana basi vinaangaliwa sana..

Huko instagram ndio kumechafuka kinoma watu wanapost tu makalio kutwa nzima, yani niliipotezea miezi kadhaa niliporudi nika unfollow watu karibu wote maana ilikuwa shida tupuz huwezi kufungua insta upo kwenye daladala ni makalio, p**sy mwanzo mwisho na ukipost hizo ndio wanapata likes nyingi hahahaha
 
Hili si swala la Tanzania tu, ni dunia nzima kwa sasa. Nilishawahi kusema hapa, Instagram is a devil. Na hao wakenya wanawaonea waTZ bure, kwani wakina Corazon Mwamboka wanatokea wapi?
 
Haaa haaa duh u made my day aseeee,IG ni uwanja wa fujo sehemu ambayo wengi wanaokutana ni matahira na wachache wako timamu.
 
Back
Top Bottom