Tanzania now a lower middle income country, move over Kenyans!

Tanzania now a lower middle income country, move over Kenyans!

Never say never, 3yrs from today umeme tu tunafanya wonders 5000MW, watalii wanongezeka kwa kasi,production zinaongezeka maradufu Yaani speed ya development Ni kibwa kuliko ya kuzaliana
Ndio mkue na huo uchumi by 2025 lazima muongezee gdp ya $30bn kwa mwaka the only hope no mpate mafuta yenye mnapump 5milion barrels kama Angola ama Nigeria hapo no possible mengine ni ndoto za mchana
 
kumbe JPM ni jembe kweli..miaka 3 na tanzania wametoka kwa dimbwi la Ldc.
Huyu Rais ni wa kuhifadhi, ikiwezekana aongezwe mda
 
yeah right.
it's reliably reported that Tanzania will be sponsoring the next NASA astronauts mission to the outer space!
yes thats true, tanzania will be the first african nation and in the world generally to send its own astronauts to the outer galaxy next year
 
Tanzania kuna watu masikini hohe hahe ila sio nchi masikini. Ni unfair kuita Tanzania LDC. Vipato vya watanzania vimekua sana na bado vitaendelea kukua.
thanks for your honesty bruh!
 
Ngoja tuanze kuchimba gas 2022 ndio mtajua kumbe ulaya inawezwa kuletwa Africa na ikaenea Tanzania nzima.
Kwa CCM walivopitisha ile sheria ya matumizi ya hela za gesi haraka na kwa mabavu sidhani kama tutaifaidi sana hiyo pesa. Kwani dhahabu na alamasi vimetupeleka wapi? Bado tuko palepale tunapiga marktime!
 
Uganda one day watatoka wakiamua kupambana kiume...sikufaham tulitoka ldc tangu 2017
Tulikuwa tutoke enzi za Kikwete ila dhamani ya shilingi yetu ikashuka sana to the dollar. That time it went from 1500 to close to 2000 overnight.
 
Never say never, 3yrs from today umeme tu tunafanya wonders 5000MW, watalii wanongezeka kwa kasi,production zinaongezeka maradufu Yaani speed ya development Ni kibwa kuliko ya kuzaliana
Magu alinikera alivosema watu wazaliane tu na akataka kupiga marufuku matangazo ya uzazi wa mpango!
 
Ndio mkue na huo uchumi by 2025 lazima muongezee gdp ya $30bn kwa mwaka the only hope no mpate mafuta yenye mnapump 5milion barrels kama Angola ama Nigeria hapo no possible mengine ni ndoto za mchana
Umesahau tuna gesi?
We will start exporting it in 2022. IMF estimates revenues of $3 - $6 billion a year! Mind you our budget this year was $14 billion.
Na hapo bado sijakutajia bomba la mafuta la Uganda and the circa $200million we will be earning just by oil flowing in underground pipes!
 
Magu alinikera alivosema watu wazaliane tu na akataka kupiga marufuku matangazo ya uzazi wa mpango!
Hahaha Ila alisema watu wazae watoto wanaoweza kuwamudu akisisitiza watu wazaliane kadri wanavyoweza
 
Umesahau tuna gesi?
We will start exporting it in 2022. IMF estimates revenues of $3 - $6 billion a year! Mind you our budget this year was $14 billion.
Na hapo bado sijakutajia bomba la mafuta la Uganda and the circa $200million we will be earning just by oil flowing in underground pipes!
Nilishaa ambia aache ndoto za mchana the only hope for Tanzania to add $30bn dollars kwa gdp kwa sasa labda mpate discovery ya mafuta mingi kama Nigeria of which ni muijiza....... realistically at least Kenya inaeza kua imekaribia hiyo figure but so Tanzania
 
Back
Top Bottom