Bottas
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 1,817
- 1,142
Ndio mkue na huo uchumi by 2025 lazima muongezee gdp ya $30bn kwa mwaka the only hope no mpate mafuta yenye mnapump 5milion barrels kama Angola ama Nigeria hapo no possible mengine ni ndoto za mchanaNever say never, 3yrs from today umeme tu tunafanya wonders 5000MW, watalii wanongezeka kwa kasi,production zinaongezeka maradufu Yaani speed ya development Ni kibwa kuliko ya kuzaliana