Tanzania now catches up with Kenya in infrastructure projects

Tanzania now catches up with Kenya in infrastructure projects

Mchina ameshakataa kutoa pesa, serikali yenu ilishatangaza kwamba reli itaishia Naivasha sasa hivi wanajenga reli ya Zamani kutoka Naivasha hadi Malaba, hakuna tena pesa wala mpango wa kuifikisha SGR hadi Malaba. Wakati huo huo kipande cha SGR toka Dar-MOROGORO, kimefikia 80% na kile Cha MOROGORO hadi Dodoma 30%, kumbuka hadi sasa hatujapata mkopo, yote hiyo ni pesa yetu, Hahahaha
Your SGR is full loan. Maybe udanganye watu wengine na siyo sisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1)Hydroelectric dam $3B
2)SGR $3.2B
3)BRT $160B
4)Salender bridge $360M
5)Ujenzi wa Meli na Chelezo $150M
6)Daraja la Busisi $400M
7)Ndege za ATCL $670M
8)Ujenzi wa rada 4 za kuongoza ndege $70M
9)Ubungo interchange $90M
10)Ukarabati wa Airpits 10 $275M
11)Dar-Kibaha Supper high $60M
Total =$8.3M

Leteni projects zenu U/C jumla zinazozidi $2B. Kumbuka kwamba SGR yenu haipo U/C kwasasa, ujenzi umesimama hakuna pesa kwa wakati huu.
Brt $160 B? Hio ni uongo.
 
Proof (if ever anyone needed one), kuwa mtu hawezi kuwa apologetic wa ccm hii ya Magufuli kama anatumia akili yake ni hii post.
Ni muimba mapambio pekee ambae anaweza kujumlisha positive figures 11 tofauti ikiwemo 160B halafu total figure ikawa 8.3M.
Hahaha jamaa kafika form four. Msamehe bure. Yaani anajumuisha $160 B kisha anapata jumla la $8.3 M. Kweli jamaa ni akili punguani.
 
Samahani, kumbe hukuelewa kwamba hiyo $160B ni typing error nikimaanisha ni $160M. Nilidhani umejirekebisha kumbe bado upuuzi wako unaendelea hata baada ya kuingia 2020?. Vipi ujenzi wa BRT ufike $160B, wewe ni mwendawazimu sina sababu ya kuendelea kujadiliana na wewe
Hata kama tukisema ni 160 M basi vipi ukapata jumla ya 8.3 M. Kwani hujawahi kusoma hisabati? Duh.
 
Umekosea mahesabu mzee! BRT ni $160 mln na ndege za ATCL ni zaidi kumbuka unit price ya dreamliner ni $ 248 mln sasa zipo mbili $496 mln then Airbuses mbili in 2018 was $ 91.5 mln ambazo ni $183 mln! Ukijumlisha gharama tayari $ 679 mln imepita! Hapo bado Bombardier Dash 8 nne $ 32.2 mln*4 ni $ 128.8 mln. Ukijumlisha unapata $ 807.8 mln hapo bado gharama nyingine kama kulipa madeni, inflight systems pia kupata IATA licence pia new booking system in the likes of Amadeus, ku-train ma-pilot na aircraft engineers, kuandaa karakana kwa vifaa na kadhalika yaani ni zaidi $1 bln!
Duh kumbe wewe sio mjinga nilivyokuwa nikidhani. Wewe ni mwerevu ila wivu ndio tatizo lako kuu. Ukirekebisha utakuwa mtu mzuri.
 
Lappset $25b
Tatu $2.5b
Kisumu port $30m
JKIA-Westlands expressway $630m
Isibania -Kisii riad $195m
Eldoret- Nadapal- Juba Highway $1b
Kibwezi- Kitui road $230m
Outer ring road and Ngong` road expansion $170m
JKIA-Rironi $670m
Mombasa port expansion $ $200m
Dongo kundu Economic zone $2b
Kisumu-mamboleo junction $$26m
Affordable housing $
Mombasa- Mariakani dualing $173m

Among others.
and less than $200 mln so far released
 
Umekosea mahesabu mzee! BRT ni $160 mln na ndege za ATCL ni zaidi kumbuka unit price ya dreamliner ni $ 248 mln sasa zipo mbili $496 mln then Airbuses mbili in 2018 was $ 91.5 mln ambazo ni $183 mln! Ukijumlisha gharama tayari $ 679 mln imepita! Hapo bado Bombardier Dash 8 nne $ 32.2 mln*4 ni $ 128.8 mln. Ukijumlisha unapata $ 807.8 mln hapo bado gharama nyingine kama kulipa madeni, inflight systems pia kupata IATA licence pia new booking system in the likes of Amadeus, ku-train ma-pilot na aircraft engineers, kuandaa karakana kwa vifaa na kadhalika yaani ni zaidi $1 bln!
Heheee!!ethiopia wako nazo za kumwaga tu, kwhyo ndege sio kigezo cha utajiri...upo jomba?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kama tukisema ni 160 M basi vipi ukapata jumla ya 8.3 M. Kwani hujawahi kusoma hisabati? Duh.
Mimi ni form Four kwahiyo hesabu sizijui vizuri sio kama ninyi wenye PhD lakini uwezo wenu wa akili ni sawa na Form one
 
Typing error ya million kusema ni billion, halafu typing error ya heasabu ambazo ni za mabilioni lkn sum inakuwa in millions...yani nimecheka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua maana ya typing error?, au kutokana na akili zenu fupi zinazowafanya hata chakula mnashindwa kujilisha mnadhani mtaweza kushindana na akili kubwa?.
Rudi katika mada kuu, Tanzania projects zinathamani ya $60B, Kenya $36B, bado mnapata wapi nguvu za kujiita uchumi wa kati wakati hata chakula mnategemea misaada?, Kweli ninyi ni failed State
 
Point kubwa hapa ni monetary value ya projects, in other words hesabu. So makosa ya kimahesabu yanamaanisha makosa ya habari nzima. Kwa hiyo wewe mwenye akili lakini usiejua hesabu tuambie mantiki ya post yako.
Everyone will laugh at your stupidity.
Point kubwa hapa ni kwamba projects za Tanzania ni $60B Wakati Kenya ni $36B, hapo ndio mnakwepa kwasababu panawasababishia kupatwa na "anal itchy".
 
Back
Top Bottom