Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 20,648
- 17,772
Your SGR is full loan. Maybe udanganye watu wengine na siyo sisi.Mchina ameshakataa kutoa pesa, serikali yenu ilishatangaza kwamba reli itaishia Naivasha sasa hivi wanajenga reli ya Zamani kutoka Naivasha hadi Malaba, hakuna tena pesa wala mpango wa kuifikisha SGR hadi Malaba. Wakati huo huo kipande cha SGR toka Dar-MOROGORO, kimefikia 80% na kile Cha MOROGORO hadi Dodoma 30%, kumbuka hadi sasa hatujapata mkopo, yote hiyo ni pesa yetu, Hahahaha
Sent using Jamii Forums mobile app