Tanzania now catches up with Kenya in infrastructure projects

Your SGR is full loan. Maybe udanganye watu wengine na siyo sisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Brt $160 B? Hio ni uongo.
 
Proof (if ever anyone needed one), kuwa mtu hawezi kuwa apologetic wa ccm hii ya Magufuli kama anatumia akili yake ni hii post.
Ni muimba mapambio pekee ambae anaweza kujumlisha positive figures 11 tofauti ikiwemo 160B halafu total figure ikawa 8.3M.
Hahaha jamaa kafika form four. Msamehe bure. Yaani anajumuisha $160 B kisha anapata jumla la $8.3 M. Kweli jamaa ni akili punguani.
 
Hata kama tukisema ni 160 M basi vipi ukapata jumla ya 8.3 M. Kwani hujawahi kusoma hisabati? Duh.
 
Duh kumbe wewe sio mjinga nilivyokuwa nikidhani. Wewe ni mwerevu ila wivu ndio tatizo lako kuu. Ukirekebisha utakuwa mtu mzuri.
 
and less than $200 mln so far released
 
Halafu ukapata sum total uliyopata? Hongera kwa kudhihirisha to all and sundry kuwa wewe ni aina gani[emoji23][emoji23][emoji23]
Typing error ya million kusema ni billion, halafu typing error ya heasabu ambazo ni za mabilioni lkn sum inakuwa in millions...yani nimecheka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heheee!!ethiopia wako nazo za kumwaga tu, kwhyo ndege sio kigezo cha utajiri...upo jomba?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kama tukisema ni 160 M basi vipi ukapata jumla ya 8.3 M. Kwani hujawahi kusoma hisabati? Duh.
Mimi ni form Four kwahiyo hesabu sizijui vizuri sio kama ninyi wenye PhD lakini uwezo wenu wa akili ni sawa na Form one
 
Typing error ya million kusema ni billion, halafu typing error ya heasabu ambazo ni za mabilioni lkn sum inakuwa in millions...yani nimecheka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua maana ya typing error?, au kutokana na akili zenu fupi zinazowafanya hata chakula mnashindwa kujilisha mnadhani mtaweza kushindana na akili kubwa?.
Rudi katika mada kuu, Tanzania projects zinathamani ya $60B, Kenya $36B, bado mnapata wapi nguvu za kujiita uchumi wa kati wakati hata chakula mnategemea misaada?, Kweli ninyi ni failed State
 
Point kubwa hapa ni monetary value ya projects, in other words hesabu. So makosa ya kimahesabu yanamaanisha makosa ya habari nzima. Kwa hiyo wewe mwenye akili lakini usiejua hesabu tuambie mantiki ya post yako.
Everyone will laugh at your stupidity.
Point kubwa hapa ni kwamba projects za Tanzania ni $60B Wakati Kenya ni $36B, hapo ndio mnakwepa kwasababu panawasababishia kupatwa na "anal itchy".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…