joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hahahaha, hapo ndio mtajua kwamba Tanzanworki baba lao ktk ukanda huu. Hamuamini kinachotokea, Bullet train bila mkopo wakati "Old diesel train" mumeshindwa kujenga hata kilometa moja, Failed state at WorkYour SGR is full loan. Maybe udanganye watu wengine na siyo sisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1348707
The Africa Construction Trends Report (2019) by Consultancy firm Deloitte released in January, shows that both Kenya and Tanzania recorded g 51 projects in 2019. Tanzania’s total share of projects by value is 41.2% (US$60.3bn), making it the largest contributor
towards East Africa’s total project value.
Tanzania now catches up with Kenya in infrastructure projects - CCE l ONLINE NEWS
Tanzania is now at per with Kenya in terms of infrastructure projects, both recording 51 projects in 2019, a new report has revealed.cceonlinenews.com
Sent using Jamii Forums mobile app
LDC mahali pabaya sana.We tumbili subiri huu ndiyo mwaka wenu kulia serikali yenu imeshaanza kuililia USA ili iweke vikwazo kwa tz
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole bro, Najua inauma lakini itabidi uzoeeHahahaha, hapo ndio mtajua kwamba Tanzanworki baba lao ktk ukanda huu. Hamuamini kinachotokea, Bullet train bila mkopo wakati "Old diesel train" mumeshindwa kujenga hata kilometa moja, Failed state at Work
Kama ile tuliwapatia Mwanza 😉 Alafu hi ATCL yetu kwani hatuendi nayo Johannesburg?Ye
GDP yenu haiwezi hata kuwapa chakula, mnategemea misaada
Sidhani hata kama ulifika form 4 wewe. Addition inakushindaje?[emoji23]Mimi ni form Four kwahiyo hesabu sizijui vizuri sio kama ninyi wenye PhD lakini uwezo wenu wa akili ni sawa na Form one
First phase is $1.2b loan from Turkey, second phase is $1.4b loan from Standard Chartered Bank. Bado sijaongeza zingine.Hahahaha, hapo ndio mtajua kwamba Tanzanworki baba lao ktk ukanda huu. Hamuamini kinachotokea, Bullet train bila mkopo wakati "Old diesel train" mumeshindwa kujenga hata kilometa moja, Failed state at Work
Wamepanic hatariZungumzia total projects za Tanzania kufikia zaidi ya $60B sawa na zaidi ya 40% ya projects zote za East Africa, Wakati Kenya ni $36B, sawa na 29% ya projects zote za East Africa, msijaribu kukimbia huu uzi kwa kuleta mada tofauti ili kuficha hii aibu. Tanzania ni baba lao.
Ndege sio kitu cha maana. Pengine uringe kwa kitu tofauti.Za mkopo pia though at least ET inatengeneza faida!
Amesema lami yenu ina urefu wa 8,000 km? Mpo nyuma sana.
Kwa hiyo $60B wewe huoni $30B ni ile white elephant gas project ambayo ilikufa kifo cha mende? Sisi sio wajinga. Halafu kama $160B ni typing error na ulikusudia kuandika $160M basi vipi ulipata jumla ya 8.3 M?Unajua maana ya typing error?, au kutokana na akili zenu fupi zinazowafanya hata chakula mnashindwa kujilisha mnadhani mtaweza kushindana na akili kubwa?.
Rudi katika mada kuu, Tanzania projects zinathamani ya $60B, Kenya $36B, bado mnapata wapi nguvu za kujiita uchumi wa kati wakati hata chakula mnategemea misaada?, Kweli ninyi ni failed State
Yaani unadhani sisi ni wajinga tukubali eti Bagamoyo bado inaendelea kujengwa au unataka tuamini eti ile white elephant gas project bado inajengwa? Nanii, usidhani unaongea na watoto wadogo humu.Majirani kubalini ukweli tu kuwa TZ imeshawazidi ktk projects huo ndio ukweli wenyewe japo ni mchungu.
Hio report imetolewa na one of the most reputable and internationally recognised consulting firm, Deloitte
I don't think Deloitte wana beef na GoK au wamelipwa na GoT ili waonyeshe kuwa hivi sasa mmezidiwa na TZ.
Kubalini yaishe tuanze new thread, life goes on🙂
Sent using Jamii Forums mobile app
Fool zinazojengwa na kukamilika kipindi chao jifunze Kiswahili!Amesema lami yenu ina urefu wa 8,000 km? Mpo nyuma sana.
Your tarmacking is 8k. Kubali tu.Fool zinazojengwa na kukamilika kipindi chao jifunze Kiswahili!
3.BRT $160B....... BILLION US$......bilions? which equals to tsh360+ trilions! JPM is a magician aisee1)Hydroelectric dam $3B
2)SGR $3.2B
3)BRT $160B
4)Salender bridge $360M
5)Ujenzi wa Meli na Chelezo $150M
6)Daraja la Busisi $400M
7)Ndege za ATCL $670M
8)Ujenzi wa rada 4 za kuongoza ndege $70M
9)Ubungo interchange $90M
10)Ukarabati wa Airpits 10 $275M
11)Dar-Kibaha Supper high $60M
Total =$8.3M
Leteni projects zenu U/C jumla zinazozidi $2B. Kumbuka kwamba SGR yenu haipo U/C kwasasa, ujenzi umesimama hakuna pesa kwa wakati huu.
Hiyo ndio inadhihirisha ni jinsi gani mlivyokata tamaa ya kupambana na Tanzania, ukishindana na mtu kwa utajiri, mwenye kushindwa huanza kutumie misemo ya kujiliwaza kama hiyo "Hizo pesa sio zake". Kenya mlipogundua kwamba mnategemea Tanzania kwa chakula mkaanza kutoa sababu za Kijinga "Nchi yetu ni jangwa". hamtaki kutaja uzembe wenu wa kushindwa kutimiza mradi wa Galana Kulalu. Sasa baada ya kushindwa ktk SGR, mnajiliwaza kwamba hatuwezi kujenga bila mkopo kama ninyi. Kenya donnot have muscles to flight Tanzania.Itabidii udanganye watanzania wenzako lakini sio mimi. Your SGR is full loan.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ndio inadhihirisha ni jinsi gani mlivyokata tamaa ya kupambana na Tanzania, ukishindana na mtu kwa utajiri, mwenye kushindwa huanza kutumie misemo ya kujiliwaza kama hiyo "Hizo pesa sio zake". Kenya mlipogundua kwamba mnategemea Tanzania kwa chakula mkaanza kutoa sababu za Kijinga "Nchi yetu ni jangwa". hamtaki kutaja uzembe wenu wa kushindwa kutimiza mradi wa Galana Kulalu. Sasa baada ya kushindwa ktk SGR, mnajiliwaza kwamba hatuwezi kujenga bila mkopo kama ninyi. Kenya donnot have muscles to flight Tanzania.
Tanzania projects $60B
Kenya projects $36B
Aibuuuu
Delloite ni kampuni kubwa la kidunia linajua zaidi kuliko sisi wote hapa. Achana na hayo makosa yangu ya kimaandishi na kihesabu jikite zaidi katika hii report ya Delloite. Hahahaha. Mnaanza kuwakosoa hata Delloite kwasababu ya kuwaambia ukweli?.Kwa hiyo $60B wewe huoni $30B ni ile white elephant gas project ambayo ilikufa kifo cha mende? Sisi sio wajinga. Halafu kama $160B ni typing error na ulikusudia kuandika $160M basi vipi ulipata jumla ya 8.3 M?
Hata upige nduru na uruke juu ukweli utabaki kuwa your SGR is full loan. Can you remember how world Bank and IMF exposed you about your economy growth when you used to cheat us here that you are growing at 7% ? That's the same way we are going to expose you.Hiyo ndio inadhihirisha ni jinsi gani mlivyokata tamaa ya kupambana na Tanzania, ukishindana na mtu kwa utajiri, mwenye kushindwa huanza kutumie misemo ya kujiliwaza kama hiyo "Hizo pesa sio zake". Kenya mlipogundua kwamba mnategemea Tanzania kwa chakula mkaanza kutoa sababu za Kijinga "Nchi yetu ni jangwa". hamtaki kutaja uzembe wenu wa kushindwa kutimiza mradi wa Galana Kulalu. Sasa baada ya kushindwa ktk SGR, mnajiliwaza kwamba hatuwezi kujenga bila mkopo kama ninyi. Kenya donnot have muscles to flight Tanzania.
Tanzania projects $60B
Kenya projects $36B
Aibuuuu
Sasa hayo mtajuana na Delloite, ila sisi tunajua kwambaLet me tell the value of your projects.
$60b - $30b LPG - $4.5b pipeline -$10b Bagamoyo = $15.5b
Sent using Jamii Forums mobile app