joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hahahaha, hapo ndio mtajua kwamba Tanzanworki baba lao ktk ukanda huu. Hamuamini kinachotokea, Bullet train bila mkopo wakati "Old diesel train" mumeshindwa kujenga hata kilometa moja, Failed state at WorkYour SGR is full loan. Maybe udanganye watu wengine na siyo sisi.
Sent using Jamii Forums mobile app