Tanzania Nursing and Midwifery Council (TNMC) matokeo ya leseni mnatoa lini?

Tanzania Nursing and Midwifery Council (TNMC) matokeo ya leseni mnatoa lini?

Travis_Kitengo

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2021
Posts
329
Reaction score
919
Habar wana Jf
Husika na kichwa cha uzi hapo juu, sisi wahitimu ya fani ya uuguzi tulifanya mtihani wa leseni 19 Disemba, 2025 na tulipia huo mtihani laki na nusu!

Sasa hawa jamaa muda unazidi kwenda hawatoi matokeo wako busy kukusanya hela za marathon ambazo sisi hazitusaidii, sisi tunataka hizo leseni tuapply kazi maana waajiri hawakubali kutuajiri bila leseni.

Ombi langu TNMC hii wiki isipite bila kutoa matokeo.

Travis_Kitengo
Tehran, Iran
 
Back
Top Bottom