Tanzania nzima inaweza msahau Hayati Magufuli ila sio Tabora

Aliyeenda kubembea marekani pesa si ilikuwa ya walipa Kodi au walimtuma kubembea? acheni kutumiwa kijinga hivyo.
Wewe ndiye unatumika kijinga hivi unajua hasara aliyoisababisha magufuli?

Ndio maana ni popular kwa watu wajinga na wapumbavu kama wewe

Ila MTU yeyote aliyefanya naye kazi anajua kilichokuwa kinaendelea
 
Rais asipoleta maji mbona huwa unamlaumu?

Alafu hii mada inaongelea uwanja wa ndege chato au maji tabora?
Kwasababu ya katiba mbovu lazima alaumiwe

Hoja ndani ya hoja mkuu hautaki tuwakumbushe kwamba alikuwa shetani aliyevaa ngozi ya malaika?
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. JPM hawezi kusahaulika.
 
Leo musiba anaadhirika hawezi lipa mishahara baada ya mfadhili wake kufa
 
Magufuli anachukiwa na watu wachache sana hapa duniani, niamini mimi bro. Fanya research mkuu. Wanaomchukia ni kikundi cha watu wachache sana ambao wako JF, twitter na Ufipa basi.
Huko nako baada ya kuona Mama anaupiga mwingi wameamua kubaki katikati...angalia mada za watu kama BAK wa hapa JF siku hizo!
 
Magufuli anachukiwa na watu wachache sana hapa duniani, niamini mimi bro. Fanya research mkuu. Wanaomchukia ni kikundi cha watu wachache sana ambao wako JF, twitter na Ufipa basi.
Diallo yuko ufipa we mataga?
 
Endelea kulia shenzi kabisa 😃 m.naabudu sanamu mbwa nyie. Rais wote wamefanya makubwa sio huyo kituko wenu pakee. Tabora isingekuwepo kama waanzilishi wasingeiweka hapo.

Kuweni na heshima kwa watu wote. Ndio maana Sasa mnaachwa mpige kelele zenu.
 
Na Shinyanga hawatamsahau Lowassa kwa mradi mkubwa wa maji wa ziwa Victoria.
 
Kwa mashangazi wake Majaliwa wanaolima korosho Lindi na Ntwara.
Kwa wafanyabiashara wa bureau de change
Kwa wahanga wa Ole Sabaya
Kwa waliosoma ualimu na udaktari miaka 5 iliyopita.
Kwa wafanyakazi wa umma.
Kwa wafanyabiashara waliokimbia nchi wanaombiwa sasa imefunguliwa warudi.
Hakuna sehemu ambayo Magufuli hakugusa maisha ya Watanzania positively.
 
Magufuli alisema ukiomba mkopo kupeleka maji Tabora wanakataa, kwa nini ??

Wahisani wana chuki binafsi na Wanyamwezi ??
 
Acha kuropoka, mpango wa kupeleka maji Tabora, Singida hadi Dodoma kutoka Ziwa Victoria uliandaliwa tangu enzi za Rais Mkapa wakati Lowassa akiwa waziri wa maji. Na mpango huo bado unatekelezwa!
Huu ndio wimbo uliopo ,

Hao walioandaa hiyo mipango kwanini hawakuitekeleza wao??
 

Crap and stupid! Unalia ujinga!
 
Kwa sisi tuliosoma uchumi tunapenda kuona capital development.
Mkapa alianza nazo na zilikuwa imara kwa ujenzi wa darara labrufiji,daraja la umoja,ujenzi wa uwanja wa mpira wa kisasa kwa bil .na mengine mengi.
JK naye kajenga vyake .
JPM kajenga vingi kwa muda mfupi yaani kila sehemu kazi na kila wizara ilikuwa na miradi mikubwa mfano kwa mara ya kwanza kuona mahakama zetu zinapendeza majengo kwa zaidi ya miaka 40 toka zijengwe.JK alinunua mabasi ya kusafirishia wafungwa so kuna mchango wake ulukuwepo.
JPM ameweka mtandao kwenye hospital zote wa internet.JK alijenga majengo.
JPM kakarabati shule kongwe .JK alijenga mpya za kata na vyuo vikuJK alijenga barabara za kuunganisha mikoa kwa mikoa JPM akaendeleza zaidi na haswa njombe barabara ya KM 50 za zege kwenye eneo korofi kuufungua mkoa wa njombe.
So kila awamu kuna capital expindeture zimetumika naomba SSH nayeye akipendacho akipe nguvu na akiwekee fedha za miradi yake ili vionekane hata kama anapenda wasanii basi ajenge arena moja kwenye mkoa ulionyuma kwenye kupata heka heka za wageni kama singida,Iringa ,songea hivi ili watu wawe wanasafiri kufuata kitu na mengine yatapanuka tu.
 
Si unajua kuna baadhi ya wafanyabiashara walihamishia biashara zao nje ya nchi ili kukwepa kodi? Akiwepo tajiri Freeman Mbowe wa Moshi?
Hivi kumbe mtu akihamishia biashara nje ya nchi anakuwa anakwepa kodi aliyotakiwa kulipa nchini Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…