Tanzania nzima inaweza msahau Hayati Magufuli ila sio Tabora

Ameshaenda huyo, kama vip mfuate kama alivyofanya Mfugale.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Wanyamwezi ni washamba Sana, mwangalie kijana Kigwangallah ndipo utajuwa wale ni watu wa aina gani. Mimi niliporudi Bongo miaka michache iliyopita nilikuwa napiga sana watu wakiniita Mnyamwezi kwani sina dalili zozote za kishamba wala za Kikwere.....nasema nitaua mtu akiniita Mnyamwezi ama Mze wa Msoga.
 
Laiti ungejua ...
 
Mkuu mradi wa maji ziwa Victoria kwenda nzega, igunga na tabora haukufanywa kwa pesa za ndani
 
Umeongea ukweli mtupu mkuu.Ni viongozi wachache sana ambao wapo tayari kubeba mzigo wa lawama kwa maslahi ya wahitaji.JPM will forever be our hero
 
Ujinga ni kipaji chako! Uchumi wa kati umefikiwa kwa Magufuli kupora fedha za watu benki, fedha ambazo serikali inashindwa kuzirejesha kwa wenyewe baada ya Samia kubaini uporaji mkubwa uliofanywa na mtangulizi wake.

Sasa nioneshe uchumi wa kati!
Uonyeshwaje tena uchumi wa kati? Huo hapo, kwani hauoni [emoji23]
 
Nani kakudanganya kuwa mkoa wa Tabora ni miongoni mwa mikoa inayotoa mapato makubwa sana! Kwa kuuza nini? Maembe na tumbaku?
Tumbaku yenyewe Wanyamwezi wamesusia kulima kutokana na mizengwe ktk vyama vya Ushirika.
Then unadai wewe Msabato; Usabato haukufikishi mbinguni yakhe!
 
Tuliza mshono wewe wanaume wanapojadili mambo ya maana.
 
Ujinga ni kipaji chako! Uchumi wa kati umefikiwa kwa Magufuli kupora fedha za watu benki, fedha ambazo serikali inashindwa kuzirejesha kwa wenyewe baada ya Samia kubaini uporaji mkubwa uliofanywa na mtangulizi wake.

Sasa nioneshe uchumi wa kati!
Uchumi wa kati unao hapo katikati ya mapaja yako dada! Tuliza mshono.
 
..Tabora maji yamefika.

..lakini kuna maeneo ya karibu zaidi na Ziwa Nyanza / Victoria hayajapatiwa maji.

..wakati huohuo serikali inatumia matrilion kununua ndege zinazotuingizia hasara, na kujenga mji mkuu wakati tayari tulikuwa nao.
Na kujenga sanamu la shilingi milioni 420...
 
kila mwananchi ana haki ya kupata maendeleo ila viongozi wengine hawawapi watu hiyo haki ila magu alijaribu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…