Hili ni kundi baya sana, na halifai hata kiduchu. Nashangaa kwa nini hatujasikia crackdown ya hawa member wa hichi kikundi....
Unaingiaje twitter wakati imefungwa kwa Tanzania? Tupeane maujanja MkuuHili ni kundi baya sana, na halifai hata kiduchu. Nashangaa kwa nini hatujasikia crackdown ya hawa member wa hichi kikundi...
VpnUnaingiaje twitter wakati imefungwa kwa Tanzania???? Tupeane maujanja Mkuu
Mimi sio mpumbavu au mvuta bangi wa Chadema nikurupuke hovyo. Najua ninachokisema wewe kenge wa Twitter.
Washa iachia wiki 2 sasaUnaingiaje twitter wakati imefungwa kwa Tanzania???? Tupeane maujanja Mkuu
Sio wa kunga mkuu niwakupotezwa kabisaWewe na kikundi chako ndio mshikwe mfungwe kabisa
Nyie ni maadui wa FREE SPEECH
Ni wa kufungwa kabisa...wewe na wote wa kundi lako
Kwa hiyo wewe unadhani serikali haiwatambui?Are you more intelligent than the government units?Hili ni kundi baya sana, na halifai hata kiduchu. Nashangaa kwa nini hatujasikia crackdown ya hawa member wa hichi kikundi.
Kimejaa wahuni na ambao kazi yao kubwa ni kuipaka matope Tanzania na serikali .
Kama inadiriki kuwa huwa wanafanya makongamano ili kupanga njama za kuchafua nchi kwa uongo basi ni wakati muafaka watafutwe viongozi wao.
Watanzania hawataki maneno ya upuuzi hasa upotoshaji, na kwa kuwa sasa imejulikana kuwa kuna hili kundi,basi msako mkali ufanyike ili kuwakamata. Japokuwa baadhi wanaishi nje ya Tanzania.
Kwa ujumla hawafai na wanatakiwa wapigwe pini kwa kila namna.
Kama afanyavyo mkurugenzi wa twitter akikandamiza uhuru wa maoni kwa Trump na Ayatollah..Wewe na kikundi chako ndio mshikwe mfungwe kabisa
Nyie ni maadui wa FREE SPEECH
Ni wa kufungwa kabisa...wewe na wote wa kundi lako
Tunaomba utuambie ni njama gani wanazipanga?Hili ni kundi baya sana, na halifai hata kiduchu. Nashangaa kwa nini hatujasikia crackdown ya hawa member wa hichi kikundi.