Tanzania on Twitter ni akina nani? Kwanini vyombo vya dola vinawachekea?

Tanzania on Twitter ni akina nani? Kwanini vyombo vya dola vinawachekea?

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Hili ni kundi baya sana, na halifai hata kiduchu. Nashangaa kwa nini hatujasikia crackdown ya hawa member wa hichi kikundi.

Kimejaa wahuni na ambao kazi yao kubwa ni kuipaka matope Tanzania na Serikali .

Kama inadiriki kuwa huwa wanafanya makongamano ili kupanga njama za kuchafua nchi kwa uongo basi ni wakati muafaka watafutwe viongozi wao.

Watanzania hawataki maneno ya upuuzi hasa upotoshaji, na kwa kuwa sasa imejulikana kuwa kuna hili kundi,basi msako mkali ufanyike ili kuwakamata. Japokuwa baadhi wanaishi nje ya Tanzania.

Kwa ujumla hawafai na wanatakiwa wapigwe pini kwa kila namna.
 
Tuanze nawewe unayetaka Kunyamazisha wenye nchi. Nashangaa uhamiaji wamechelewa wapi kukurudisha kwenu.
 
Hili ni kundi baya sana, na halifai hata kiduchu. Nashangaa kwa nini hatujasikia crackdown ya hawa member wa hichi kikundi....

Wewe unaakili timam?

Haya uliyoyaandika nani kayathibitisha yanaukweli na Bora kama sio upumbavu na ujinga.

Wewe unapima maandishi yako kwenye standard gani?

Tukuaamini kwa upumbavu huu!

Watanzania gani unaongelea wakakutuma? Kikao kilifanyika lini, wapi na mahudhulio yalikuwaje?
 
Hili ni kundi baya sana, na halifai hata kiduchu. Nashangaa kwa nini hatujasikia crackdown ya hawa member wa hichi kikundi...
Unaingiaje twitter wakati imefungwa kwa Tanzania? Tupeane maujanja Mkuu
 
Mimi sio mpumbavu au mvuta bangi wa Chadema nikurupuke hovyo. Najua ninachokisema wewe kenge wa Twitter.

Akili zako duni sana

1. Unamsemea nani?

2. Watanzania gani wamekutuma kwa ushahidi upi?
 
Mtakuja kufa kwa stress za kujitakia.
Sasa hao watu wakiisema serikali (kama una ushaidi kuwa wanaipaka matope nchi weka hapa) kwa mabaya ubaya wao uwapi?
Mtakufa mapema nyie watu kwa chuki zakujitafutia.
Mwigeni hata kikwete kwa uuumilivu wa kisiasa!
We unafikiri ni kwanini kila siku anazidi kuwa kijana?
We hujiulizi ni kwanini mwinyi hazeeki?
Hujiulizi ni kwanini mkapa kamwacha mwinyi anadunda?
Na yawezekana hata jk mkamwacha akidunda,nyie tukawachinjia ng'ombe na kuwaolea wajane wenu!
Punguzeni sana kutaka kuogopwa!
Haitawasaidia chochote!
 
Polisi wa kibongo bado sana.

Kuna mtu hapa ana RB toka December mwaka jana katapeliwa na malipo yamepitia bank cha ajabu hadi leo hii Polisi hawajajua hata hiyo account waliyopewa ni ya bank gani!!😁.

Hao wa twitter siyo leo wala kesho kutwa labda watafute "wahuni" nje ya idara zao.
 
Hili ni kundi baya sana, na halifai hata kiduchu. Nashangaa kwa nini hatujasikia crackdown ya hawa member wa hichi kikundi.

Kimejaa wahuni na ambao kazi yao kubwa ni kuipaka matope Tanzania na serikali .

Kama inadiriki kuwa huwa wanafanya makongamano ili kupanga njama za kuchafua nchi kwa uongo basi ni wakati muafaka watafutwe viongozi wao.

Watanzania hawataki maneno ya upuuzi hasa upotoshaji, na kwa kuwa sasa imejulikana kuwa kuna hili kundi,basi msako mkali ufanyike ili kuwakamata. Japokuwa baadhi wanaishi nje ya Tanzania.

Kwa ujumla hawafai na wanatakiwa wapigwe pini kwa kila namna.
Kwa hiyo wewe unadhani serikali haiwatambui?Are you more intelligent than the government units?
 
Hili ni kundi baya sana, na halifai hata kiduchu. Nashangaa kwa nini hatujasikia crackdown ya hawa member wa hichi kikundi.

Kimejaa wahuni na ambao kazi yao kubwa ni kuipaka matope Tanzania na serikali .

Kama inadiriki kuwa huwa wanafanya makongamano ili kupanga njama za kuchafua nchi kwa uongo basi ni wakati muafaka watafutwe viongozi wao.

Watanzania hawataki maneno ya upuuzi hasa upotoshaji, na kwa kuwa sasa imejulikana kuwa kuna hili kundi,basi msako mkali ufanyike ili kuwakamata. Japokuwa baadhi wanaishi nje ya Tanzania.

Kwa ujumla hawafai na wanatakiwa wapigwe pini kwa kila namna.
Tunaomba utuambie ni njama gani wanazipanga?

Unajua kuwa hata kigwa ni TOT?
Na wapo wengi viongozi wako hata meko yupo Twitter.

You cant escape social media these days.

Mtoto mdogo Usikurupuke , una upeo mdogo sana.
Upeo wako haujafikia hatua ya kujudge wa TOT
 
Back
Top Bottom