Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Hili ni kundi baya sana, na halifai hata kiduchu. Nashangaa kwa nini hatujasikia crackdown ya hawa member wa hichi kikundi.
Kimejaa wahuni na ambao kazi yao kubwa ni kuipaka matope Tanzania na Serikali .
Kama inadiriki kuwa huwa wanafanya makongamano ili kupanga njama za kuchafua nchi kwa uongo basi ni wakati muafaka watafutwe viongozi wao.
Watanzania hawataki maneno ya upuuzi hasa upotoshaji, na kwa kuwa sasa imejulikana kuwa kuna hili kundi,basi msako mkali ufanyike ili kuwakamata. Japokuwa baadhi wanaishi nje ya Tanzania.
Kwa ujumla hawafai na wanatakiwa wapigwe pini kwa kila namna.