Tanzania one ametoka shule gani

ni dvision vi au iv?
 
ivi aya matokeo ni ya kwel? mbona shule maaruf sana zimefeli? alafu kuhusu kuchaguliwa itakuaje? shule nyingi sizitabaki bila wanafunzi! kwa hiyo wasichana walioelimika kizazi hichi wamepungua! mimi naona necta iludie tena kusahisha iweke kauluma bac
 
haipo mwaka huu, na mh. Waziri amesema imekuwa ngumu mwaka huu kupanga wanafunzi 10 bora eti kwa kuwa wanafunzi wamekaribiana sana, hata hyo list ya best 10 students haijatolewa ni watu ndo wanajitahidi kutafuta kujua kulingana na matokeo yenyewe
 
kwa mara ya kwanza TZ hakuna one ya .7 wala .8 ni .9 tena hazfiki hata nne nafkiri
 
Faida za elimu kwa wote ndo hizo
 
devision vi unamaanisha nini? au ulitaka kumaanisha division iv!!
 
hii balaa! kwa nini? ja.ka.ya ki.kwe.te asitangaze hali ya hatari kwa elimu ya tanzania! au aombe msaada (kwa hisani ya watu wa marekani)! sio anatuleta plastic machandarua tu.
 
Mwaka huu hakuna single ya 7 wala ya 8, vijana wameanzia one ya 9, feza boys 2, na Don Bosco seminary 1. Hadi sasa nimeziona hizo. Maajabu St. Francis Mbeya wamepata one 65, wakwanza kwao kaanza na one ya 11:
 
Yeleuwiiiiiiii.....
 
Daaah ningemaliza mwaka huu na ile one yangu ya nane ningeitwa T.O leo. But ndio hivyo tena. Miaka yetu ukipata one ya Tisa unaonekana wa kawaida sana. Hapo unakutana na watu kama Kumi wamepiga za 7.
 
Kwa hizo RED i doubt kama kweli ulisoma seminary, au kama kweli umeenda shule
 
haipo mwaka huu, na mh. Waziri amesema imekuwa ngumu mwaka huu kupanga wanafunzi 10 bora eti kwa kuwa wanafunzi wamekaribiana sana, hata hyo list ya best 10 students haijatolewa ni watu ndo wanajitahidi kutafuta kujua kulingana na matokeo yenyewe
10 bora wote wametoka st. Francis na Marian's so wanaoba noma kuwaweka hadharani coz hakuna wa shule za serikalini. Nyie hamuoni mwaka huu wamekuja na 20 bora badala ya 10 bora kama ilivyozoekeka, ili kupata nafasi ya kuziingiza kibaha na mzumbe?
 
Mwaka huu hakuna single ya 7 wala ya 8, vijana wameanzia one ya 9, feza boys 2, na Don Bosco seminary 1. Hadi sasa nimeziona hizo. Maajabu St. Francis Mbeya wamepata one 65, wakwanza kwao kaanza na one ya 11:
Kawambwa kafanya makusudi ku standardize matokeo ya shule za seminary ili kuleta uwiano kitaifa. We unadhani ingekuaje wa seminary wana 1.7 kama 10 shule moja aghali shule zao za serikalini wameanza na div 2?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…