Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Seminarini enzi zetu tulikuwaga hatunaga devision vi lakini sasa tunazo nimeona seminari nyingi tulizokuwa tunashindana nazo enzi zile zote zina vi.... hali ni mbaya aisee na devision one average wameanzia point 13 wakati tulikuwaga tunapiga 7,8 kazaa na tisa kibao enzi zetu Uru seminary. Sasa sijui nini kimetokea yani wamebolonga mpaka basi yani unaangalia matokeo kuna A moja tuu kati ya watoto 40 na masomo saba....... Sasa walimu na watoto walikuwa wanafanya nini miaka yote minne hiyo. Sijawahi ona katika kipindi changu cha maisha, au ni utandawazi wa facebooking na googling unatumaliza?
waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi, dk. Shukuru kawambwa (mb) leo ametangaza rasmi matokeo ya mitihani ya kidato cha nne, maarifa na qt.
Jumla ya watahiniwa waliofaulu kwa mujibu wa matokeo hayo ni 23520 kuanzia daraja la i hadi la iv huku katika mchakato huo wasichana waliofaulu katika mchakato huo ni 7178 na wavulana ni 16342.aidha waziri kawambwa amesema kuwa waliofaulu kwa daraja la kwanza ni 1641, daraja la pili ni 6495 na daraja la tatu ni 15426 na walio feli ni 24903.
Shule bora ni pamoja na st. Francis girl ya mbeya, marian boys ya bagamoyo, feza boys dar es salaam, marian girls bagamoyo na simini,hizo ndizo zilizopo kwenye tano bora huku shule nyingine ni kanosa, jude, st. Mary. Source ni michuzi
kosa ni la nan kati ya necta na wanafunzi?
Seminarini enzi zetu tulikuwaga hatunaga devision vi lakini sasa tunazo nimeona seminari nyingi tulizokuwa tunashindana nazo enzi zile zote zina vi.... hali ni mbaya aisee na devision one average wameanzia point 13 wakati tulikuwaga tunapiga 7,8 kazaa na tisa kibao enzi zetu Uru seminary. Sasa sijui nini kimetokea yani wamebolonga mpaka basi yani unaangalia matokeo kuna A moja tuu kati ya watoto 40 na masomo saba....... Sasa walimu na watoto walikuwa wanafanya nini miaka yote minne hiyo. Sijawahi ona katika kipindi changu cha maisha, au ni utandawazi wa facebooking na googling unatumaliza?
Unashangaa nini mkuu,enzi zake alikua anapiga one ya 9 paleeeee URU SEMINARY!ni dvision vi au iv?
Mwaka huu hakuna single ya 7 wala ya 8, vijana wameanzia one ya 9, feza boys 2, na Don Bosco seminary 1. Hadi sasa nimeziona hizo. Maajabu St. Francis Mbeya wamepata one 65, wakwanza kwao kaanza na one ya 11:
Kwa hizo RED i doubt kama kweli ulisoma seminary, au kama kweli umeenda shuleSeminarini enzi zetu tulikuwaga hatunaga devision vi lakini sasa tunazo nimeona seminari nyingi tulizokuwa tunashindana nazo enzi zile zote zina vi.... hali ni mbaya aisee na devision one average wameanzia point 13 wakati tulikuwaga tunapiga 7,8 kazaa na tisa kibao enzi zetu Uru seminary. Sasa sijui nini kimetokea yani wamebolonga mpaka basi yani unaangalia matokeo kuna A moja tuu kati ya watoto 40 na masomo saba....... Sasa walimu na watoto walikuwa wanafanya nini miaka yote minne hiyo. Sijawahi ona katika kipindi changu cha maisha, au ni utandawazi wa facebooking na googling unatumaliza?
10 bora wote wametoka st. Francis na Marian's so wanaoba noma kuwaweka hadharani coz hakuna wa shule za serikalini. Nyie hamuoni mwaka huu wamekuja na 20 bora badala ya 10 bora kama ilivyozoekeka, ili kupata nafasi ya kuziingiza kibaha na mzumbe?haipo mwaka huu, na mh. Waziri amesema imekuwa ngumu mwaka huu kupanga wanafunzi 10 bora eti kwa kuwa wanafunzi wamekaribiana sana, hata hyo list ya best 10 students haijatolewa ni watu ndo wanajitahidi kutafuta kujua kulingana na matokeo yenyewe
Kawambwa kafanya makusudi ku standardize matokeo ya shule za seminary ili kuleta uwiano kitaifa. We unadhani ingekuaje wa seminary wana 1.7 kama 10 shule moja aghali shule zao za serikalini wameanza na div 2?Mwaka huu hakuna single ya 7 wala ya 8, vijana wameanzia one ya 9, feza boys 2, na Don Bosco seminary 1. Hadi sasa nimeziona hizo. Maajabu St. Francis Mbeya wamepata one 65, wakwanza kwao kaanza na one ya 11: