komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Wenye akili hao, wanamashaka kama kweli Kenya ipo huru, wazungu wametawala ardhi na Uchumi wote, ninyi pimbi mnadhalilika ndani ya nchi yenu.
Tukiwaambia sisi kwamba ardhi ya Kenya IPO mikononi mwa wazungu, mnasema hatuijui Kenya, huyu Manyora na yeye haijui Kenya?. Ushauri wangu ni kwamba, ingieni barabarani muondoshe utawala wa kikabila huo, ni dhahifu sana hauwezi kuwasaidia wanyonge.
hyo ndio tunaita freedom of speech..mbna raa...mi pia nikiwa na maoni yangu nayatupia tu mtandaoni na watu wanajadili...hyo ndio raha ya uhuru wa kujieleza na wa habari...
tupia mjadala kuhusu sakata la CAG...nakwambia na log off jf...bwahahaa