Tanzania opens the largest and most advanced general hospital in East Africa

Wakenya walitangulia sana kwenye kutransplant figo google Dr Kioko uone mambo yake
 
Wakenya walitangulia sana kwenye kutransplant figo google Dr Kioko uone mambo yake
Hata Tanzania ilitangulia sana katika kufanya operation ya kutenganisha twins walioungana, Tanzania ilifanya operation hiyo 1994, Kenya wanefanya 2016
 
kubwa zaidi ni kwamba watu wanapata huduma bora kabisa kwenye huu Ukanda wa Afrika Mashariki. Hiyo hospitali ingekuwa haitoi huduma bora basi ningekuelewa hata unacholalamika hapa.

Haiwezi kuwa inatoa huduma bora, ndio maana ataenda kutibiwa John Hopkins.

Viongozi wa kiafrika hawana chembe ya uzalendo. Watu wanakupa heshima karibia ya mtume, ukitaka kupita barabarani wanasimama hata kabla hujatoka bafuni, lakini ukiugua unaenda kujitibia sehemu ambazo wananchi waliotoa hela yao hawawezi hata kuziota.

Unajenga hospitali ambayo wewe huwezi kutibiwa hapo. Gharama ya kulipa cash (JK hana insurance ya kimarekani, serikali inalipa cash) kwa Jakaya Kikwete kulala John Hopkins wiki moja kupasuliwa tezi dume moja na utitiri wa wasaidizi inatosha kununua mtambo wa CT Scan, MRA, dialysis na ultrasound. Mashine ambazo Muhimbili wanaziota. Kuna ndugu yangu mwezi wa kumi alirudishwa nyumbani kutoka Bugando kwa sababu madaktari walisema hawana mikasi ya kukatia fibroids.

Hivi unalalaje usingizi usiku au kwenye ndege ukiwa angani kuelekea Baltimore, John Hopkins, the most prestigious hospital in the world wakati safari yako moja ni gharama ya kuokoa maisha ya Watanzania milioni?
 
Acha kuhamisha magoli,fungua thread ya ujira wa madaktari
 
Watanzania halisi wanazidi kuonyesha reality ya matibabu tz, asanteni sana, ukweli lazima udhihirike
 
nina hofu uko mbeleni tusije baki na majengo ya utalii
 
Katika watu wadaku na wazandiki wakubwa, wewe ni mmoja wao, Muhimbili is one among the best in east and Central Africa, kiukweli hakuna Public Hospital katika ukanda huu unayoweza kuifikia Muhimbili katika kuwa na vifaa bora na vya kisasa, hivyo ulivyovitaja, vyote vipo Muhimbili, tena ni uptodate, alipoingia Magufuli madarakani CT scan ilikua haifanyi kazi, alichangua uongozi wa Muhimbili, CTscan iliyokuwepo ilitengenezwa na ilinunuliwa ingine ya pili, the most modern CT scan machine, MRI ipo na inafanya kazi, ukifike JKCI, hapo ndiyo mwisho wa matatizo, hata AghaKhan wananyoosha mikono, vifaa vilivyopo JKCI utavikuta kwenye Hospitali chache sana za private Nairobi, kama Karen Hospital, na Nairobi Hospital, ambao chaji zao ni mara sita hadi kumi na zinazotolewa na JKCI, hii Mloganzila vifaa vyake, hata hizo Karen na Nairobi Hospital hawaoni ndani
 

Sidhani kama atakuelewa!
 
Acha kuhamisha magoli,fungua thread ya ujira wa madaktari
Hoja ya kipuuzi kabisa, madaktari + majengo + vifaa tiba = matibabu. Jeshi haliwi imara kwa vifaa peke yake, lazima wawepo askari mahiri wa kutumia vifaa hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…