Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Tanzania ilitangulia sana katika kufanya operation ya kutenganisha twins walioungana, Tanzania ilifanya operation hiyo 1994, Kenya wanefanya 2016Wakenya walitangulia sana kwenye kutransplant figo google Dr Kioko uone mambo yake
kubwa zaidi ni kwamba watu wanapata huduma bora kabisa kwenye huu Ukanda wa Afrika Mashariki. Hiyo hospitali ingekuwa haitoi huduma bora basi ningekuelewa hata unacholalamika hapa.
Acha kuhamisha magoli,fungua thread ya ujira wa madaktariKuwa na uwanja mkubwa hakuguarantee 100% improvement ya soka lako. Tuache kelele za ksiwahili sababu ya majengo, kikubwa huduma.
Tunaweza kuwa na facilities na bado tukafelishwa na kuleta siasa kwenye taaluma za watu. Daktari anastahili ujira unaoendana na kazi yake na sio ngonjera
Haiwezi kuwa inatoa huduma bora, ndio maana ataenda kutibiwa John Hopkins.
Katika watu wadaku na wazandiki wakubwa, wewe ni mmoja wao, Muhimbili is one among the best in east and Central Africa, kiukweli hakuna Public Hospital katika ukanda huu unayoweza kuifikia Muhimbili katika kuwa na vifaa bora na vya kisasa, hivyo ulivyovitaja, vyote vipo Muhimbili, tena ni uptodate, alipoingia Magufuli madarakani CT scan ilikua haifanyi kazi, alichangua uongozi wa Muhimbili, CTscan iliyokuwepo ilitengenezwa na ilinunuliwa ingine ya pili, the most modern CT scan machine, MRI ipo na inafanya kazi, ukifike JKCI, hapo ndiyo mwisho wa matatizo, hata AghaKhan wananyoosha mikono, vifaa vilivyopo JKCI utavikuta kwenye Hospitali chache sana za private Nairobi, kama Karen Hospital, na Nairobi Hospital, ambao chaji zao ni mara sita hadi kumi na zinazotolewa na JKCI, hii Mloganzila vifaa vyake, hata hizo Karen na Nairobi Hospital hawaoni ndaniHaiwezi kuwa inatoa huduma bora, ndio maana ataenda kutibiwa John Hopkins.
Viongozi wa kiafrika hawana chembe ya uzalendo. Watu wanakupa heshima karibia ya mtume, ukitaka kupita barabarani wanasimama hata kabla hujatoka bafuni, lakini ukiugua unaenda kujitibia sehemu ambazo wananchi waliotoa hela yao hawawezi hata kuziota.
Unajenga hospitali ambayo wewe huwezi kutibiwa hapo. Gharama ya kulipa cash (JK hana insurance ya kimarekani, serikali inalipa cash) kwa Jakaya Kikwete kulala John Hopkins wiki moja kupasuliwa tezi dume moja na utitiri wa wasaidizi inatosha kununua mtambo wa CT Scan, MRA, dialysis na ultrasound. Mashine ambazo Muhimbili wanaziota. Kuna ndugu yangu mwezi wa kumi alirudishwa nyumbani kutoka Bugando kwa sababu madaktari walisema hawana mikasi ya kukatia fibroids.
Hivi unalalaje usingizi usiku au kwenye ndege ukiwa angani kuelekea Baltimore, John Hopkins, the most prestigious hospital in the world wakati safari yako moja ni gharama ya kuokoa maisha ya Watanzania milioni?
Wewe ni mpumbavu sana.
Ulitaka Rais wa nchi atembelee kila hospitali iliyotengenezwa na hela wa wananchi ??
Kwenda kutibiwa au kutokutibiwa yeye hapo sisi haituhusu kabisaaaa na wala haliniumizi kichwa kabisa.
Jambo la muhimu kwangu ni kwamba Hospitali imejengwa, Alitimiza wajibu wake kama raisi na kubwa zaidi ni kwamba watu wanapata huduma bora kabisa kwenye huu Ukanda wa Afrika Mashariki. Hiyo hospitali ingekuwa haitoi huduma bora basi ningekuelewa hata unacholalamika hapa.
NB : Ridiculousness, ni kuanza kumuwaza Raisi Jakaya Kikwete ambaye yeye ni mpitaji tu, bila kufikiria au kupendekeza nini kifanywe hapo ili kuboresha huduma kwa Watanzania na Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa Ujumla.
Kama wewe unakaa na kuanza kumuwaza mtu unataka na mimi niwaze ujinga-ujinga na majungu ya kipumbavu kama haya ??? (Haiwezekani hata siku moja)
Grow up!!
Katika watu wadaku na wazandiki wakubwa, wewe ni mmoja wao, Muhimbili is one among the best in east and Central Africa, kiukweli hakuna Public Hospital katika ukanda huu unayoweza kuifikia Muhimbili katika kuwa na vifaa bora na vya kisasa, hivyo ulivyovitaja, vyote vipo Muhimbili, tena ni uptodate, alipoingia Magufuli madarakani CT scan ilikua haifanyi kazi, alichangua uongozi wa Muhimbili, CTscan iliyokuwepo ilitengenezwa na ilinunuliwa ingine ya pili, the most modern CT scan machine, MRI ipo na inafanya kazi, ukifike JKCI, hapo ndiyo mwisho wa matatizo, hata AghaKhan wananyoosha mikono, vifaa vilivyopo JKCI utavikuta kwenye Hospitali chache sana za private Nairobi, kama Karen Hospital, na Nairobi Hospital, ambao chaji zao ni mara sita hadi kumi na zinazotolewa na JKCI, hii Mloganzila vifaa vyake, hata hizo Karen na Nairobi Hospital hawaoni ndani
Hoja ya kipuuzi kabisa, madaktari + majengo + vifaa tiba = matibabu. Jeshi haliwi imara kwa vifaa peke yake, lazima wawepo askari mahiri wa kutumia vifaa hivyo.Acha kuhamisha magoli,fungua thread ya ujira wa madaktari