Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Ila waje kwa adabu..[emoji23] [emoji115] .Wenzao Uganda wameshasahau kwenda India kufuata matibabu ya moyo, Comorro, DRC na Malawi wameanza kuja, baadhi ya wakenya wamejaa Ocean road cancer Insitute, sasa hii Mloganzila ndiyo Kiboko yao, hawana jinsi lazima waje tu.
Ila tupunguze vijembe, kiukweli wameshaelekea kibla, ila kama binadamu kuna ile hali ya kujisikia unyonge kukubali hadharani[emoji1] [emoji1]Ila waje kwa adabu..[emoji23] [emoji115] .
Kulaumu pia ni sehemu ya ushauri kasome hata vitabu vya dini uone mungu akitoa lawama kibao Kwa wanadamu
Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
Tunabishana kijinga mm nimezungumzia mambo Kwa ujumla kama bado muda wa kutangaza mm na ww tunasifia nini mitandaoni mana hata hapa tupo Kenya forum tukifanya aina ya kujitangaza wakati wadau ndiyo waliopaswa kutujuza ubora wa hiyo hspt kuliko mimi na wewe tusio jua sana mambo ya hospt pamoja na mashine za kisasa na kiwango chake ila wapo wahusika waliopaswa hasa kutujuza ubora wa hiyo hospt wamekaa kimya kama mabundi wana msubiri Geza aelezee sekta zaoNdugu yangu hii sio biashara ya Aviation useme utangaze ATCL au Utalii tanzania, hata clinical trial haifanywi kwa Muda mfupi namna hiyo, sisi ndio kwanza tumeanza, JKCI imeonesha njia, kwenye huduma za Afya tunapiga hatua.
Ndugu unaugua ugonjwa wa unafiki tiba yake ni kidonge kinaitwa kweli unaposema waisraeli wanashingo ngumu unamaanisha sisi tusio waisraeli niwatakatifu sanaaa au?? Unafiki ni shida achananao akuna dhambi ambayo waisraeli wanatenda ambayo mm na wewe atutendi wewe endelea kujiona mtakatifu sanani kweli lawama zipo hata kwenye vitabu cha dini.
ila lawama zile zilielekezwa kwa wakosaji wenye shingo ngumu wasiorekebika kama wana wa Israeli.
lkn tukija hapa. toa ushauri ukiwa na mawazo chanya.
Tumia kichwa chako vizuri, sikusema infrastructure/facilities sio muhimu bali nilichelea kuwa tunashangilia na kujitapa mapema mno. We still have a work to do na kwenye hili si utani.kwa hiyo wewe kwa maoni yako tunaweza kuwa na huduma bora bila ya kuwa na modernised health infrastructure/facilities.
Pongezeni kwenu kwa kufungua hospitali kubwa kabisa hapo bongo.I know many threads zimeshafunguliwa about this in Tanzanian forums ila niliona niwaletee habari hii ndugu zangu wakenya.
Karibuni Bongo mpate world class services!
Can accomodate over 570 inpatients and has a TZS 206 billion price tag!
Kubwa kabisa chini ya jua kusini mwa jangwa la sahara [emoji23][emoji23]Pongezeni kwenu kwa kufungua hospitali kubwa kabisa hapo bongo
Wivuuuu...Hii ni best Hospital katika ukandaa huu, ukiambiwa best Hospital haina maana ni majengu tu, ila ina vifaa vyote muhimu na vya kisasa kuliko Hospitali yoyote katika ukanda huu. Hospitali hii ni teaching Hospital, itakuwa inachukua wanafunzi wa elimu ya afya 15,000 kwa mwaka.Hongera ila kuna mambo ya msingi mngeanza nayo kabla ya haya majengo mnayotutambia humu. Ni wachache kwenye akili watanielewa, ila wengine mtaishia kwenye ligi za kawaida.
Uwiano wa idadi ya madaktari na raia wa nchi, yaani doctors to patients ratio yenu bado iko nyuma sana ya Kenya.
Nilishangaa kuskia kuna madaktari wenu wapo vijiweni kitaa hawana kazi wakati sisi kwetu kila mwanafunzi anayehitimu udaktari anaajiriwa papo hapo.
Mishahara ya madaktari wenu ni duni kiasi kwamba hata vijana Wakenya waliohitimu na kuajiriwa hivi majuzi wanalipwa vizuri kuliko madaktari wenu.
Kuna mambo mengi tu mengine ambayo mnafaa kuzingatia kabla ya kujenga majengo makubwa na kuyaita hospitali bora Afrika Mashariki, maana wagonjwa wataishia kuja kuyashangaa tu bia kupata huduma za msingi, nmewaambia mara nyingi mkiiga ndovu mtachana misamba. Mcheze michezo kwenye ligi yenu.
Nimesema kubwa kabisa hapo bongo, sijataja EAKubwa kabisa chini ya jua kusini mwa jangwa la sahara [emoji23][emoji23]
You gotta acknowledge it in full!
Sent from my LG-H815 using JamiiForums mobile app
Jiandae na BP mashine pembeni, kuna uwanja wa ndege unafunguliwa mwakani, the biggest and most modern in EAC, kule Dodoma kuna uwanja wa mpira unajengwa with capacity of 95,000, the second biggest in Africa, after Soccer city in South Africa.Nimesema kubwa kabisa hapo bongo, sijataja EA
.
You will need to tripple your construction budget for you to have the biggest hospital in east and central africa
Hongera ila kuna mambo ya msingi mngeanza nayo kabla ya haya majengo mnayotutambia humu. Ni wachache kwenye akili watanielewa, ila wengine mtaishia kwenye ligi za kawaida.
Uwiano wa idadi ya madaktari na raia wa nchi, yaani doctors to patients ratio yenu bado iko nyuma sana ya Kenya.
Nilishangaa kuskia kuna madaktari wenu wapo vijiweni kitaa hawana kazi wakati sisi kwetu kila mwanafunzi anayehitimu udaktari anaajiriwa papo hapo.
Mishahara ya madaktari wenu ni duni kiasi kwamba hata vijana Wakenya waliohitimu na kuajiriwa hivi majuzi wanalipwa vizuri kuliko madaktari wenu.
Kuna mambo mengi tu mengine ambayo mnafaa kuzingatia kabla ya kujenga majengo makubwa na kuyaita hospitali bora Afrika Mashariki, maana wagonjwa wataishia kuja kuyashangaa tu bila kupata huduma za msingi, nimewaambia mara nyingi mkiiga ndovu mtachana misamba.
Mcheze michezo kwenye ligi yenu.
OK, kwa sasa tuzungumzie haya mjengo na vifaatiba vya kisasa vilivyosimikwa hapa, hayo yako mengine hayakuhusiana na huu Uzi.Tumia kichwa chako vizuri, sikusema infrastructure/facilities sio muhimu bali nilichelea kuwa tunashangilia na kujitapa mapema mno. We still have a work to do na kwenye hili si utani.
Mabasi ya mwendo kasi hayo hapo na barabara yake, still watu wanapanda kwa kugombania na wanakaa vituoni muda mrefu. Majengo ni hatua moja kubwa, lakini inapaswa kufuatiwa na VIFAA TIBA na WATABIBU na sio majigambo.
Most Advanced = The facility itself,Pongezeni kwenu kwa kufungua hospitali kubwa kabisa hapo bongo.
Lakini mpunguze ku kurupukwa kwingi, hauwezi ukafungua hospitali alafu siku ya kwanza unaiita most advanced. most advanced is not about new building, most advance is about experienced doctors using latest learnt skills to treat the most complicated surgical treatments or diseases
Kaka ni upofu wa mawazo na kutojua uchumi vizuri ndiko kunakomfanya asifie mishahara mikubwa ya Kenya, 52% ya bajeti yote ya Kenya kwa mwaka inaishia kulipa mishara kwa watumishi wa uma, ambao ni asilimia 2% tu ya wakenya wote, ni 27% pekee ya bajeti ndiyo inayoelekezwa kwenye miradi ya maendeleo, wakati Tanzania 40% enaenda kwenye miradi ya maendeleo, mishahara yao haina usawa wowote, wanasiasa wanalipwa mara kumi zaidi ya professionals, matokeo yake niUkipima impact ya hizi specialized Hospitals ni kubwa mno zaidi ya Hayo uliyobainisha
Ocean Road cancer institute na Jakaya Kikwete Cardiac Institute pamesaidia sana hata ndugu zako wakenya kutibiwa saratani na cardiovascular diseases kwa gharama nafuu badala ya kusafiri nje kufuata matibabu hayo,
Hapo Mloganzila pekee wameshaajiri vijana wengi sana waliokuwa mtaani, Benjamin Mkapa na JKCI as well,
Hayo ya mishahara ni kweli hatuwezi fanana, hata gharama za maisha Kenya zipo juu sana kuliko Tanzania.
Huku Tz fresh graduates wanaanzia $450, which is not very bad kwa Maisha ya Mtanzania.
Na pia nikukumbushe tu, haya siyo majengo like you said, ni fully equipped modernises health facilities, zimetuchukua dolari za kutosha kusimamisha.