Ukipima impact ya hizi specialized Hospitals ni kubwa mno zaidi ya Hayo uliyobainisha
Ocean Road cancer institute na Jakaya Kikwete Cardiac Institute pamesaidia sana hata ndugu zako wakenya kutibiwa saratani na cardiovascular diseases kwa gharama nafuu badala ya kusafiri nje kufuata matibabu hayo,
Hapo Mloganzila pekee wameshaajiri vijana wengi sana waliokuwa mtaani, Benjamin Mkapa na JKCI as well,
Hayo ya mishahara ni kweli hatuwezi fanana, hata gharama za maisha Kenya zipo juu sana kuliko Tanzania.
Huku Tz fresh graduates wanaanzia $450, which is not very bad kwa Maisha ya Mtanzania.
Na pia nikukumbushe tu, haya siyo majengo like you said, ni fully equipped modernises health facilities, zimetuchukua dolari za kutosha kusimamisha.