BILLY ISISWE
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 2,666
- 1,053
Mbona mlimleta Lissu huku kwetu. Kama kwenu kuna Hosp kubwakumbwa hivi. Mlishindwa vipi kumtibu Lissu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukipima impact ya hizi specialized Hospitals ni kubwa mno zaidi ya Hayo uliyobainisha
Ocean Road cancer institute na Jakaya Kikwete Cardiac Institute pamesaidia sana hata ndugu zako wakenya kutibiwa saratani na cardiovascular diseases kwa gharama nafuu badala ya kusafiri nje kufuata matibabu hayo,
Hapo Mloganzila pekee wameshaajiri vijana wengi sana waliokuwa mtaani, Benjamin Mkapa na JKCI as well,
Hayo ya mishahara ni kweli hatuwezi fanana, hata gharama za maisha Kenya zipo juu sana kuliko Tanzania.
Huku Tz fresh graduates wanaanzia $450, which is not very bad kwa Maisha ya Mtanzania.
Na pia nikukumbushe tu, haya siyo majengo like you said, ni fully equipped modernises health facilities, zimetuchukua dolari za kutosha kusimamisha.
Ndugu unaugua ugonjwa wa unafiki tiba yake ni kidonge kinaitwa kweli unaposema waisraeli wanashingo ngumu unamaanisha sisi tusio waisraeli niwatakatifu sanaaa au?? Unafiki ni shida achananao akuna dhambi ambayo waisraeli wanatenda ambayo mm na wewe atutendi wewe endelea kujiona mtakatifu sana
Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
Liver transplant inafanyika hapo Wakenya hawana haja ya kwenda India au South Africa
Achana naye karai huyo.kwa hiyo wewe kwa maoni yako tunaweza kuwa na huduma bora bila ya kuwa na modernised health infrastructure/facilities.
Shime Dr Kikwete...... Yes u canI know many threads zimeshafunguliwa about this in Tanzanian forums ila niliona niwaletee habari hii ndugu zangu wakenya.
Karibuni Bongo mpate world class services!
![]()
![]()
![]()
Can accomodate over 570 inpatients and has a TZS 206 billion price tag!
Tumia kichwa chako vizuri, sikusema infrastructure/facilities sio muhimu bali nilichelea kuwa tunashangilia na kujitapa mapema mno. We still have a work to do na kwenye hili si utani.
Mabasi ya mwendo kasi hayo hapo na barabara yake, still watu wanapanda kwa kugombania na wanakaa vituoni muda mrefu. Majengo ni hatua moja kubwa, lakini inapaswa kufuatiwa na VIFAA TIBA na WATABIBU na sio majigambo.
Tanzania sio level ya ukanda huu kwa sasa hivi katika huduma bigwa za Afya.
Kaka ni upofu wa mawazo na kutojua uchumi vizuri ndiko kunakomfanya asifie mishahara mikubwa ya Kenya, 52% ya bajeti yote ya Kenya kwa mwaka inaishia kulipa mishara kwa watumishi wa uma, ambao ni asilimia 2% tu ya wakenya wote, ni 27% pekee ya bajeti ndiyo inayoelekezwa kwenye miradi ya maendeleo, wakati Tanzania 40% enaenda kwenye miradi ya maendeleo, mishahara yao haina usawa wowote, wanasiasa wanalipwa mara kumi zaidi ya professionals, matokeo yake ni
1)Malalamiko yasiokwisha miongoni mwa watumishi wa umma
2)Migomo ya kutoridhishwa na mishahara, kwa sababu wasomi wanajilinganisha na wanasiasa
3)Rushwa isiyokwisha, kila mtu anataka kulingana na wanasias
4)Mfumuko wa bei kuwa juu muda mwingi, kwa sababu ya mzunguko mkubwa wa pesa usiotokana wala kuendana na ongezeko la uzalishaji
5)Huduma za jamii kuwa duni kwa kukosa pesa, pesa nyingi inatumika kulipa mishahara
6) Kuongezeka kwa gap kati ya tajiri na masikini
Not only EA,Unatumia nguvu nyingi kujibu swali rahisi, tulia usome hoja yangu upya halafu uje tena halafu pia hilo LA kusema yenu ndio kubwa EAC sijui umetumia vigezo gani maana hadi hapo akiwemo mleta mada hakuna aliyeweka data za kuonyesha hiyo yenu ndio kubwa EAC.
Heading hapo juu inasema MAJENGO?OK, kwa sasa tuzungumzie haya mjengo na vifaatiba vya kisasa vilivyosimikwa hapa, hayo yako mengine hayakuhusiana na huu Uzi.
Kenya is the most ruthless economy in Africa, this is according to Dr.David Ndii ambaye kwa viwango vya kidunia wamemuka nafasi ya 26 katika orodha ya best economists in the world, huyu ni mkenya lakini hawampendi kwa sababu anashabikia NASA, ila anasema umekweli, huyu jamaa ana akili ni hatari, angekuwa Tanzania, Magufuli angempa kitengo muhimu sana52% ya pato la taifa kutumika kwa 2% ya Wananchi hili pekee linadhihirisha Kenya ni nchi yenye watu wa namna gani, hakika hatuwezi kufanana ikiwa kuna watu wana mitazamo ya namna hii,
Ndio maana Kenya 46% wanaishi kwenye ufukara wa kutupwa and the Uhuruto thugs absolutely don't care about this..
Pathetic.
Pongezeni kwenu kwa kufungua hospitali kubwa kabisa hapo bongo.
Lakini mpunguze ku kurupukwa kwingi, hauwezi ukafungua hospitali alafu siku ya kwanza unaiita most advanced. most advanced is not about new building, most advance is about experienced doctors using latest learnt skills to treat the most complicated surgical treatments or diseases
We Tz we have to understand and work on this tuache ropoka
Mega health breakthroughA big building called a hospital with no competent staff and equipment is akin a big modern stadium without players. This thread is a sham and has failed at its inception...upuuzi mtupu hata tunajua Tundu Lissu hayupo in that majestic monument.
Not only EA,
Ni East and Central Africa, Meza hiyo!
Hili povu sijawahi kukutana nalo tangu nimezaliwa, pole sana kwa kuumia ndugu yangu, ila ujiandae kwa sababu next year tunakushindilia msumari mwingine wa airport. This is the biggest and Modern Hospital, not building, it has the most up to date equipments some of which are not available even in europe, you are warmly welcome just as a tourist to see what I mean.A big building called a hospital with no competent staff and equipment is akin a big modern stadium without players. This thread is a sham and has failed at its inception...upuuzi mtupu hata tunajua Tundu Lissu hayupo in that majestic monument.
Mwisho wa yote utoaji wa huduma bora za afya hupimwa kwa kuangalia life expectant ya raia wa nchi husika, kama unatoa huduma za afya lakini umri wa kuishi hauongezeki basi ujue unapoteza pesa zako bure, Tanzanians live longer than KenyansHiyo haitoshi, maana hujaleta chochote tulinganishe, hata tukiamua kulinganisha dushe langu na lako, itakua lazima kila mmoja alichomoe la kwake kutoka ndani ya suruali halafu tuanze kudadavua kwa kulinganisha, lakini hauwezi kufungia lako ndani na kujitambia eti ndio kubwa zaidi.
Mumeanzisha uzi kwa kujitambia bila kuweka facts kwanini iwe ndio bora Afrika Mashariki na Kati, maana hiyo title ndio ya Kenya, uchumi mkubwa Afrika Mashariki na Kati, na haijatokea ikachukuliwa na viinchi vilivyotuzunguka.
Na pia tuangalie mengine kama uwiano wa madaktari kwa idadi ya raia
Kiwango cha chini cha mishahara kwa madaktari
Uwiano wa mahospitali kwa idadi ya raia
And most important of them all, we look at health expenditure per capita, hayo mengine yote ni bla bla.