Tanzania opens the largest and most advanced general hospital in East Africa

Tanzania opens the largest and most advanced general hospital in East Africa

A big building called a hospital with no competent staff and equipment is akin a big modern stadium without players. This thread is a sham and has failed at its inception...upuuzi mtupu hata tunajua Tundu Lissu hayupo in that majestic monument.

teh teh teh teh teh tihiii
povu hilo SASA. hadi raha dozi ilivyokuingia.
sasa ulitaka kuwe na competent staff n equipment with no buildings.
 
A big building called a hospital with no competent staff and equipment is akin a big modern stadium without players. This thread is a sham and has failed at its inception...upuuzi mtupu hata tunajua Tundu Lissu hayupo in that majestic monument.
Nani kakwambia haina equipment? Hiyo ni full spitali ilikabidhiwa kwa serikali ina kila kitu. It houses an academy for health sciences!
 
Kaka ni upofu wa mawazo na kutojua uchumi vizuri ndiko kunakomfanya asifie mishahara mikubwa ya Kenya, 52% ya bajeti yote ya Kenya kwa mwaka inaishia kulipa mishara kwa watumishi wa uma, ambao ni asilimia 2% tu ya wakenya wote, ni 27% pekee ya bajeti ndiyo inayoelekezwa kwenye miradi ya maendeleo, wakati Tanzania 40% enaenda kwenye miradi ya maendeleo, mishahara yao haina usawa wowote, wanasiasa wanalipwa mara kumi zaidi ya professionals, matokeo yake ni
1)Malalamiko yasiokwisha miongoni mwa watumishi wa umma
2)Migomo ya kutoridhishwa na mishahara, kwa sababu wasomi wanajilinganisha na wanasiasa
3)Rushwa isiyokwisha, kila mtu anataka kulingana na wanasias
4)Mfumuko wa bei kuwa juu muda mwingi, kwa sababu ya mzunguko mkubwa wa pesa usiotokana wala kuendana na ongezeko la uzalishaji
5)Huduma za jamii kuwa duni kwa kukosa pesa, pesa nyingi inatumika kulipa mishahara
6) Kuongezeka kwa gap kati ya tajiri na masikini
Check out what recurrent is and you will understand the 52%. Well I don't what percentage TZ spends on development in your budget.... But whatever floats your boat
 
Kaka ni upofu wa mawazo na kutojua uchumi vizuri ndiko kunakomfanya asifie mishahara mikubwa ya Kenya, 52% ya bajeti yote ya Kenya kwa mwaka inaishia kulipa mishara kwa watumishi wa uma, ambao ni asilimia 2% tu ya wakenya wote, ni 27% pekee ya bajeti ndiyo inayoelekezwa kwenye miradi ya maendeleo, wakati Tanzania 40% enaenda kwenye miradi ya maendeleo, mishahara yao haina usawa wowote, wanasiasa wanalipwa mara kumi zaidi ya professionals, matokeo yake ni
1)Malalamiko yasiokwisha miongoni mwa watumishi wa umma
2)Migomo ya kutoridhishwa na mishahara, kwa sababu wasomi wanajilinganisha na wanasiasa
3)Rushwa isiyokwisha, kila mtu anataka kulingana na wanasias
4)Mfumuko wa bei kuwa juu muda mwingi, kwa sababu ya mzunguko mkubwa wa pesa usiotokana wala kuendana na ongezeko la uzalishaji
5)Huduma za jamii kuwa duni kwa kukosa pesa, pesa nyingi inatumika kulipa mishahara
6) Kuongezeka kwa gap kati ya tajiri na masikini
Check out what recurrent is and you will understand the 52%. Well I don't know what percentage TZ spends on development in your budget.... But whatever floats your boat
 
Mwisho wa yote utoaji wa huduma bora za afya hupimwa kwa kuangalia life expectant ya raia wa nchi husika, kama unatoa huduma za afya lakini umri wa kuishi hauongezeki basi ujue unapoteza pesa zako bure, Tanzanians live longer than Kenyans

Ndio nimesema tangu huu uzi uanze, hamna mtu analeta facts, yote imekua parapanda za 'feel good', ni kama watu wanaojipiga punyeto. Kulingana na takwimu za World Health Organisation, Kenya imeizdi Tanzania kwa life expectancy.... Those are the facts I want, sio hizo parapanda za kusema largest health facility in East and Central Africa wakati hamjaleta data za kuonyesha huo ukweli, sasa nilipo wapa changamoto za kuleta data mumekimbilia kwenye life expectancy, na huko pia mpo chini.

Kenya ndio kinara kwa mambo yote ukanda wote huu, na itachukua muda kwa nchi yoyote kutufikia, hususan nyie Waswahili kila siku dezo dezo kitaa, hamfanyi chochote kwenye liinchi likubwa lenye madini zaidi ya nchi zote Africa lakini maskini wa kutupwa, raia wake wanalihama kuja kuwa omba omba Kenya.
 
Most Advanced = The facility itself,
The doctors and other HCPs can not be advanced.
So kulingana na wewe a "famiy doctor" compared to a surgeon are on the same level, one is not more advanced than the other?

If being advanced is just about facilities, then hiyo hospitali si advanced hata hapo ndani ya Bongo, kuna private hospitals ambazo ziko more advanced, unapewa kia kitu chako ni kama uko 5star hotel,in-house chef una order chakula kama vile restaurant, nurse unapewa wako pekee, kama ni oxygyn tank hakuna cha ku share na wagnjwa wengine unapewa yako, ukibakisha oxygyn unapewa mtungi uende nao kwenu, kama umechoka kukaaa hospitali wanaeza kusafirisha hizo medical machines/equipment hadi nyumbani kwako wakutibie kutoka nyumbani mwako
 
Tatizo hizi Hosp zetu zinashindwa kujitangaza kimataifa walitakiwa kuwa open zaidi kutoa takwimu mbalimbali kama za watu mashuhuri watakao tibiwa ,idadi ya wageni kutoka nchi mbalimbali nk nadhani kuna mapungufu kwenye elimu ya uongozi hapa Tanzania Kwa ujumla mambo mazuri hadi mzungu aje kuyatangaza na kuyafanyia uchambuzi

Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
It is against medical ethics kwa hospitali au daktari kujitangaza, ndio maana hujawahi kuona tangazo la hospitali au daktari yeyote tofauti na waganga wa kienyeji akina mwaka.
 
Ndio nimesema tangu huu uzi uanze, hamna mtu analeta facts, yote imekua parapanda za 'feel good', ni kama watu wanaojipiga punyeto. Kulingana na takwimu za World Health Organisation, Kenya imeizdi Tanzania kwa life expectancy.... Those are the facts I want, sio hizo parapanda za kusema largest health facility in East and Central Africa wakati hamjaleta data za kuonyesha huo ukweli, sasa nilipo wapa changamoto za kuleta data mumekimbilia kwenye life expectancy, na huko pia mpo chini.

Kenya ndio kinara kwa mambo yote ukanda wote huu, na itachukua muda kwa nchi yoyote kutufikia, hususan nyie Waswahili kila siku dezo dezo kitaa, hamfanyi chochote kwenye liinchi likubwa lenye madini zaidi ya nchi zote Africa lakini maskini wa kutupwa, raia wake wanalihama kuja kuwa omba omba Kenya.
Ninakuelewa na ninashiriki maumivu yako unayoyapata baada ya kugundua Tanzania inawazidi kwa kila kitu isipokua GDP pekee, lakushangaza kila unapoulizwa utoe maelezo, kwa mfano nimekuonyesha negative effects ya Kenya kulipa mishahara mikubwa vs Tanzania kulipa mishahara midogo, badala ya kujibu hoja unakurupuka kwa povu la foma. Kwanini madini yetu unayaonea wivu sana badala ya kufikiria kumaliza rushwa, ukabila, umasikini uliopindukia miongoni mwa wakenya, njaa isiyokwisha na insecurity?, ardhi yenu yote mumewapa matajiri, hata mngekuwa na madini mngejuaje?

Jielimishe mwenyewe kupitia google, sina sababu ya kurudia kuipost hapa hiyo taarifa, ila Tanzanians live longer than Kenyans according to the last year report, ilishawekwa hapa na watu wakaijadili.
 
Wacha insha, leta facts.... Huu uzi unaendelea kuwa mrefu kwa dezo, mlete facts by figures. Hizi insha huwa sizisomi zaidi ya sentensi moja pale nikiona umeanza na pang'ang'a
 
Wacha insha, leta facts.... Huu uzi unaendelea kuwa mrefu kwa dezo, mlete facts by figures. Hizi insha huwa sizisomi zaidi ya sentensi moja pale nikiona umeanza na pang'ang'a
Mtu mpuuz kama wewe unajibiwa kipuuzi, hujui facts na hakuna atakayekujibu kwa facts, huu uzi unazungumzia best Hospital, wewe ukaanza kuleta mambo ya mishahara, ukijibiwa kuhusu mishahara hutaki kujibu, akili za wakenya ni hovyo sana, that's why you kill each other like wilds animals..bure kabisa wewe..
 
Mbona mlimleta Lissu huku kwetu. Kama kwenu kuna Hosp kubwakumbwa hivi. Mlishindwa vipi kumtibu Lissu?
Lisu kuletwa Kenya si kwamba sisi huku Tanzania hatukuwa na uwezo au hospitali ya kumtibu, ila kuna sababu nyingi zilishinikiza aletwe huko, mfn Raila Odinga juzi alikuja kupumzika Zanzibar si kwamba Kenya hapakuwa na sehemu za kupumzikia. Nadhani umenielewa.
 
Kuwa na uwanja mkubwa hakuguarantee 100% improvement ya soka lako. Tuache kelele za ksiwahili sababu ya majengo, kikubwa huduma.

Tunaweza kuwa na facilities na bado tukafelishwa na kuleta siasa kwenye taaluma za watu. Daktari anastahili ujira unaoendana na kazi yake na sio ngonjera
Cha kwanza na chenye umuhimu wa kuanza nacho ni facilities,, majengo na vifaa tiba. Ujuzi na uwezeshwaji vitafuatia Mkuu.
 
JKCI juzi walifanya upasuaji kwa ajiri ya kurekebisha mioyo za wagonjwa bila kufungua kifua cha mgonjwa, huu ni utaalamu mkubwa sana hapa kwetu Afrika, mara nyingi nchi za ukanda wa Afrika haswa EAC matatizo haya tumekuwa tukiyapeleka India na huko kwenye nchi za wazungu, but leo yanapelekwa Tanzania, kwakweli kwa jambo hili ni la ufahari kwa nchi yangu
 
I know many threads zimeshafunguliwa about this in Tanzanian forums ila niliona niwaletee habari hii ndugu zangu wakenya.
Karibuni Bongo mpate world class services!

m17-768x512.jpg

Cs8kmhkXYAAQ_Ot.jpg

CqUy5T9XEAUWEhZ.jpg

Can accomodate over 570 inpatients and has a TZS 206 billion price tag!

A hospital is not a Hotel-Building. Do we have enough and need professionals ????. Can we afford the price???. Does the Government have money to run ??? etc.
Vipi shida ya CT scan Muhimbili na Ocean Road zimepatikana ???
 
Kuwa na uwanja mkubwa hakuguarantee 100% improvement ya soka lako. Tuache kelele za ksiwahili sababu ya majengo, kikubwa huduma.

Tunaweza kuwa na facilities na bado tukafelishwa na kuleta siasa kwenye taaluma za watu. Daktari anastahili ujira unaoendana na kazi yake na sio ngonjera
Agiza pepsi mkuu nitapita nalipia
 
Kwanini unakuwa na haraka kama wakenya?, mambo haya ya tiba yanahitaji uzeofu wa muda mrefu, inabidi kufanya operations nyingi na kutebu wagonjwa wengi sana ili wataalamu waweze kubobea kabla ya kuaminika duniani, pia ni kuhakikisha kwamba huduma hii imewatusheleza na kuaminika ndani ya nchi ndipo ujitanue taratibu, tutafika huko kote, ndiyo kwanza tunaanza, vumilia kidogo.
Tuombe na watu waugue sasa tusijekosa wateja
 
Back
Top Bottom