Shaibu Hiwalisi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 603
- 582
Hatuna wasiwasi na wakenya,tunamwamini rais wa East Africa ,his excelency Uhuru Kenyata atamlinda mpendwa wetu Tundu Lissu.Wakenya nyie ni marafiki zetu tulikosanishwa na hili li chama la makinikia li ccm.
Hapo umeongopa kijana. Huyo hajulikani huku. Nakama unataka kusema kiongozi mkuu wa e afrika mashariki, bila shaka ni yule mtawala wa tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app