REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
Ni kwamba wakenya serikali yao ni ya kimamamama, Tanzania serikali ni ya kidume nyie leteni uwendawazimu kama hatujawatatua.Hapo ndipo ninapowakubali wakenya mnathubutu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kwamba wakenya serikali yao ni ya kimamamama, Tanzania serikali ni ya kidume nyie leteni uwendawazimu kama hatujawatatua.Hapo ndipo ninapowakubali wakenya mnathubutu..
Developed in which sense ?true but is way more developed than all other east africa nation.lived in uganda but...
No one will welcome you in Kenya based on your tribe, Tanzania has all tribes living peaceful including yoursI am ashamed to be part of this continent. Back home Kagame has ruined democracy completely.Can I move in to Kenya? seems to be the only place that democracy is thriving.i dont know about security though
Watz mkia nyuma kila mara,mtanyanyaswa mpaka mnye maviNi kwamba wakenya serikali yao ni ya kimamamama, Tanzania serikali ni ya kidume nyie leteni uwendawazimu kama hatujawatatua.
Hao si walikuwa wanafanya fujo? Lissu alifanya nini? Umemsikia Joho,Kalonzo,Wetangula,Wamarwa au Odinga kakamatwa au kapigwa risasi? Mawazo ilikuwaje?Hivi unajua zaidi ya watu 30 wameuliwa na polisi Kenya tangu siku ya kupigwa kura hadi sasa ?
Na watoto nao walikuwa wanafanya fujo ?Hao si walikuwa wanafanya fujo? Lissu alifanya nini? Umemsikia Joho,Kalonzo,Wetangula,Wamarwa au Odinga kakamatwa au kapigwa risasi? Mawazo ilikuwaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kuandamana ni fundamental right vipi Tanzania mbona maandamano na mikutano vimepigwa marufuku? Yule mtoto aliuwawa Arusha ilikuwa vipi?Na watoto nao walikuwa wanafanya fujo ?
Kuandamana saivi ni fujo na sio fundamental right ?
The difference is Tanzanians are toothless touts.
Hawan'gati afadhali wakenya wakikataa udhalimu wanasimama kwa kiasi chake.
Lazima kuwe na order hii sio banana republic like Kenya anyone in the Jungle is the kingWatz mkia nyuma kila mara,mtanyanyaswa mpaka mnye mavi
Article 8 of the URT constitution stipulates that,People are soverign and power is derived from them.Why should Tanzanians be toothless?Lazima kuwe na order hii sio banana republic like Kenya anyone in the Jungle is the king
Tatizo lako wewe unakuwa na chuki na serikali kiasi kwamba unapoteza uwezo hata wa kujenga hoja, walifanya fujo gani zaidi ya kuandamana kupinga matokeo ya uchaguzi jambo ambalo linaruhusiwa kikatiba Kenya, mbona huku Tanzania maandamano yakizuiliwa na polisi kwa sababu hizo hizo kwamba yataleta fujo watu wanalalamika?, Kwanini yakifanyika Kenya unasema yameleta fujo lakini yakifanyika Tanzania unasema ni haki ya kikatiba na hayana fujo?, Je hata kama yanaleta fujo ndiyo polisi iwapige risasi na kuwaua?, polisi ya Kenya ina vifaa vingi vya kisasa labda mara tatu ya vile vya polisi wa Tanzania vya kuweza kutuliza fujo bilakupoteza maisha, kwa nini mauaji yanazidi kutokea hata baada ya kuongezewa vifaa vya kutuliza fujo?,Hao si walikuwa wanafanya fujo? Lissu alifanya nini? Umemsikia Joho,Kalonzo,Wetangula,Wamarwa au Odinga kakamatwa au kapigwa risasi? Mawazo ilikuwaje?
Sent using Jamii Forums mobile app


Unajicontradict na kurusha tuhuma zilizojaa innuendoz.Hivi anayokumbana nayo Manji yanafanywa na serikali ipi? Wamesababisha mpaka udiwani wake umepotea.Yaliyompata Nape hadi kutishiwa bastola yalitokea wapi? Njoo uvamizi wa clouds media,,toa ufafanuzi,ukitoka hapo njoo kwa mzee Lowasa kila siku polisi.Kama uko makini utakumbuka jinsi Ukuta ulivyosababisha polis,ffu nk kujazana mitaani ili watu wasiandamane,,nitafutie Ben Sanane,,,,,Roma alijiteka? Ney wa mitego je? Kamanda Mawazo alijinyonga? Lipumba anaivuruga CUF kwa msaada wa Mbowe? Lijuakali,Lema,Kubenea walienda tuu kutembelea mahabusu? Kenya kuna unafuu kuelekea demokrasia ya kweli.Hutaki unaacha.Tatizo lako wewe unakuwa na chuki na serikali kiasi kwamba unapoteza uwezo hata wa kujenga hoja, walifanya fujo gani zaidi ya kuandamana kupinga matokeo ya uchaguzi jambo ambalo linaruhusiwa kikatiba Kenya, mbona huku Tanzania maandamano yakizuiliwa na polisi kwa sababu hizo hizo kwamba yataleta fujo watu wanalalamika?, Kwanini yakifanyika Kenya unasema yameleta fujo lakini yakifanyika Tanzania unasema ni haki ya kikatiba na hayana fujo?, Je hata kama yanaleta fujo ndiyo polisi iwapige risasi na kuwaua?, polisi ya Kenya ina vifaa vingi vya kisasa labda mara tatu ya vile vya polisi wa Tanzania vya kuweza kutuliza fujo bilakupoteza maisha, kwa nini mauaji yanazidi kutokea hata baada ya kuongezewa vifaa vya kutuliza fujo?,
Hujasikia Joho anavyovurugana na polisi kwa sababu ya kupingana na Uhuru Kenyata, mara ngapi nyumba yake imezingirwa na polisi?, Vituko anavyofanyiwa Joho na serikali ya Kenya huvijui au unajitoa akili, biashara zake kufungiwa account zake kuzuiliwa, ndugu zake na wafanya biashara walio marafiki zake kusumbuliwa, kama hujui mambo uliza ufahamishwe.
Anachofanyiwa Tundu Lisu sikiungi mkono lakini usilinganishe Tanzania na Kenya katika hili, Kenya inaongoza Afrika nzima katika extrajidicial killings(Transparency international report 2017), ukitofautiana tu na serikali Kenya unauliwa kama ilivyokuwa kwa Jakob Jumwa na hakuna mtu yeyote atakayekamatwa, nenda Mombasa uone jinsi vijana wanavyouliwa na kupotea ovyo kwa kisingizio cha ugaidi, acha kuzungumzz vitu usivyojua vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jenga hoja usirushe shutuma hewani bila mpangilio, tatizo wewe unarusha shutuma hujengi hoja, unatajataja majina tu bila vina wa hoja. Hakuna nchi yoyote duniani isiyo na sheria na taratibu, tunataka nchi iongozwe kwa sheria na taratibu zilizopo, nchi itakayowweza kufuata sheria na taratibu kwa mujibu wa katiba waliyojiwekea ndiyo tunasema ni nchi bora.Unajicontradict na kurusha tuhuma zilizojaa innuendoz.Hivi anayokumbana nayo Manji yanafanywa na serikali ipi? Wamesababisha mpaka udiwani wake umepotea.Yaliyompata Nape hadi kutishiwa bastola yalitokea wapi? Njoo uvamizi wa clouds media,,toa ufafanuzi,ukitoka hapo njoo kwa mzee Lowasa kila siku polisi.Kama uko makini utakumbuka jinsi Ukuta ulivyosababisha polis,ffu nk kujazana mitaani ili watu wasiandamane,,nitafutie Ben Sanane,,,,,Roma alijiteka? Ney wa mitego je? Kamanda Mawazo alijinyonga? Lipumba anaivuruga CUF kwa msaada wa Mbowe? Lijuakali,Lema,Kubenea walienda tuu kutembelea mahabusu? Kenya kuna unafuu kuelekea demokrasia ya kweli.Hutaki unaacha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ibara ya 13( 6)(b) ya katiba yetu inasemaje kuhusu mtuhumiwa? Kufungiwa akaunti za benk ni kwa mujibu wa sheria ipi? Tukiachana hilo vipi kuna sheria gani inayozungumzia mtu kutumia madawa bila ushahidi mpaka upime mkojo? Hata huo mkojo wenyewe mkemia anasema hajui kama mkojo alioupima ni wa Manji au polisi.Kama kufuata katiba,Tanzania ndipo katiba haifuatwi,unajua kubomoa nyumba ya mtu au kutaifisha mali yake bila fidia inakiuka ibara ya 24 ya katiba? Utaendelea tu kusema narusha tuhuma hewani lakini ukweli ndo huo.Yawezekana hay wewe hujayasikia wala kuyaona ,au wewe ni beneficiary wa mfumo hivyo lazima utatetea tuuu.Kama kuna katiba inanajisiwa basi ni ya Tanzania.Eti mtu tena kiongozi wa nchi anajitapa eti katika mihimili ya dola kuna mmoja umejichimbia chini zaidi ya mingine,hii ndo constitutionalism tunayoijua? Mambo ya Kagame ndo dira yetu sasa.Jenga hoja usirushe shutuma hewani bila mpangilio, tatizo wewe unarusha shutuma hujengi hoja, unatajataja majina tu bila vina wa hoja. Hakuna nchi yoyote duniani isiyo na sheria na taratibu, tunataka nchi iongozwe kwa sheria na taratibu zilizopo, nchi itakayowweza kufuata sheria na taratibu kwa mujibu wa katiba waliyojiwekea ndiyo tunasema ni nchi bora.
Sasa sijui nianza na yupi kwa sababu unataja watu ovyo ovyo bila mpangilio. Ngoja nianze na Manji, manji ameshutumiwa na makosa mengi tu, kuanzia matumizi ya dawa za kulevya ambapo vipime vya mkojo vya mkemia mkuu vimethibitisha sio maneno ya mtaani, Pili kukutwa na mihuri na nguo za jeshi, bado hizi zote ni tuhuma, utaratibu tuliojiwekea katika katiba yetu ni kwamba mtuhumiwa ni laxima apelekwe mahakamani ndiyo mahakama itaamua kama anakesi ya kujibu ama hapana, sasa katika suala la Manji wewe tatizo lako lipo wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha ati banana republic like Kenya. That is a scandalous big fat lieLazima kuwe na order hii sio banana republic like Kenya anyone in the Jungle is the king