Shaibu Hiwalisi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 603
- 582
Hatuna wasiwasi na wakenya,tunamwamini rais wa East Africa ,his excelency Uhuru Kenyata atamlinda mpendwa wetu Tundu Lissu.Wakenya nyie ni marafiki zetu tulikosanishwa na hili li chama la makinikia li ccm.
Hapo umeongopa kijana. Huyo hajulikani huku. Nakama unataka kusema kiongozi mkuu wa e afrika mashariki, bila shaka ni yule mtawala wa tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Muifadhini ndugu yetu enyi wakenya.......angalieni ccm wasijekutumia mungiki kummaliza
Wakenya kwa ubaguzi hamjambo! Sasa mnaanza kuwabagua baadhi ya wabunge kwa kusema hawajulikani!Wacha kunipea mp wa vijiweni ambao hata hawajulikani
Mm nakuambia LEADER WA OPPOSITION !!!....AMA RULING PARTY!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo mtu asiyejulikana Kenya ni sawa tu hata akiuliwa kwa sababu maisha yake pia hayana thamani?, au ndiyo sababu watu 1200 waliuliwa kinyama 2007 hadi leo hakuna mtu yeyote aliyechukuliwa hatua licha ya polisi walioonekana wakiwapiga watu risasi na kuwaua katika mkanda wa video lakini wapo free hapo Nairobi?Wacha kunipea mp wa vijiweni ambao hata hawajulikani
Mm nakuambia LEADER WA OPPOSITION !!!....AMA RULING PARTY!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kupoteza muda mbwa ww....Ndugai kesha dili nao ndani ya bunge wkt "maagizo kutoka juu" ameshafanya yake nje ya bunge km alivyoahidiUnajua kuwa ni CCM??? Kwanini isiwe ni vita vya madaraka na popularity ndani ya CHADEMA? Kwanini isiwe ni wagomvi tu wa Ndugu Lissu who want to settle a score? Kwanini isiwe ni watu waliotumwa kutoka nje ambao wanataka ku-divert attention???? Tuviachie vyombo vya dola vifanye uchunguzi....na tumuombee mwenzetu apone haraka....
Kila mkosoaji hayupo salama hasa Africa. Yaani yeyote aendaye kinyume na watawala basi aweka roho yake rehani. Mungu ibariki Afrika
Intimacy Vs Isolation