Kevin85ify
JF-Expert Member
- Apr 6, 2019
- 2,684
- 3,429
He has done more to harm Tanzania than any "propaganda" he claims is being churned out by journalists.Shukran zote zimfikie Magufuli, jembe la kweli, kwa kufanikisha hili tukio la ofisi za chama cha upinzani kutiwa kiberiti kwa mara ya kwanza nchini Tz. Hapa kazi tu!
Ikiwa mko na uhakika wa ushindi, mbona mchome ofisi za upinzani, kuwapiga risasi wanasiasa wa upinzani na kuwazuia wasigombee ?Collabo ya cdm/kenya kama kawaida yenu. Huyo loketo wenu kama mnampenda mmmfanye awe raisi wa kenya kwa Tanzania nafasi ina mwenyewe.
Tuache kuchoma ufipa tukachome vichochoroni, mjipange. Mnachoma wenyewe mnalia wenyewe.Ikiwa mko na uhakika wa ushindi, mbona mchome ofisi za upinzani, kuwapiga risasi wanasiasa wa upinzani na kuwazuia wasigombee ?
Mbona munatumia polisi kuwatisha na kuwapiga wanaharakati wa haki za binadamu, ambao hata si wanasiasa?
Mbona munatumia polisi kuwatisha wanahabari na kuua wanahabari ambao wanafanya kazi yao?
Magu tano Tena!Mwaka huu ni mwaka wa watanzania kugeuza historia ya kisiwa hiki cha amani