Tanzania: Opposition offices burnt down and convoy attacked by hired goons

Tanzania: Opposition offices burnt down and convoy attacked by hired goons

Kevin85ify

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2019
Posts
2,684
Reaction score
3,429
CHADEMA headquarters in Arusha were reportedly firebombed on 13 August and shortly after, the convoy in which Lissu had been travelling in was attacked by “stone throwing bandits” according to an email sent by his lawyer’s office to the Tanzania Police Force.

Lissu, who recently returned to Tanzania after three years away seeking treatment for gunshot wounds, was nominated as CHADEMA’s presidential candidate on 3 August.
 
Shukran zote zimfikie Magufuli, jembe la kweli, kwa kufanikisha hili tukio la ofisi za chama cha upinzani kutiwa kiberiti kwa mara ya kwanza nchini Tz. Hapa kazi tu!
He has done more to harm Tanzania than any "propaganda" he claims is being churned out by journalists.
 
Collabo ya cdm/kenya kama kawaida yenu. Huyo loketo wenu kama mnampenda mmmfanye awe raisi wa kenya kwa Tanzania nafasi ina mwenyewe.
 
Wapenda amani nchi yetu tupo wengi sana tunawazoom tu oktoba tufanye yetu.
 
Collabo ya cdm/kenya kama kawaida yenu. Huyo loketo wenu kama mnampenda mmmfanye awe raisi wa kenya kwa Tanzania nafasi ina mwenyewe.
Ikiwa mko na uhakika wa ushindi, mbona mchome ofisi za upinzani, kuwapiga risasi wanasiasa wa upinzani na kuwazuia wasigombee ?
Mbona munatumia polisi kuwatisha na kuwapiga wanaharakati wa haki za binadamu, ambao hata si wanasiasa?
Mbona munatumia polisi kuwatisha wanahabari na kuua wanahabari ambao wanafanya kazi yao?
 
Tuache kuchoma ufipa tukachome vichochoroni, mjipange. Mnachoma wenyewe mnalia wenyewe.
 
Mwaka huu ni mwaka wa watanzania kugeuza historia ya kisiwa hiki cha amani
 
Back
Top Bottom