Mwanzi1
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 6,000
- 4,589
Baba, sema taratibu usimuuzi shemeji, utanyimwa shuka ya kulalia usiku, shari zako. [emoji23]Kenya inafanya elections 2017-2020 kila siku Kampeni za Kisiasa tu na maandamano, sasa hivi wanataka kuanza tena Katiba nyingine wkt hii iliyopo wala hawajaitunia, tutawakuta hawa morons muda siyo mrefu!