Kidunia Tanzania ipo namba 54, Kenya namba 125, hivi ni vigezo vya kidunia, wewe unatumia vigezo gani?, au unatumia vigezo vya mitaani?. Haya tuambie wewe katika vigezo vya amani na utulivu duniani Tanzania iko katika nafasi ipi?
Ingia google andika" world peace ranking 2017", sasa kama unapingana na dunia nzima wewe ni mtu wa ajabu, nenda ukaishi sayari ingine ujiwekee vigezo vyako peke yako, ila hapa duniani kuna UN bodies zenye jukumu la kufuatilia mambo mbalimbali kitaalamu na kutoa taarifa za kidunua, ila kwa wale waliozoea kuishi kiswahili bila wataendelea kubaki katika dimbwi la ujinga hadi siku ya mwisho.Achana na vigezo vya mwaka 47 weye? Lini umesikia Kenya miili imeokota ufukweni!? Tia akili kichwani
Ingia google andika" world peace ranking 2017", sasa kama unapingana na dunia nzima wewe ni mtu wa ajabu, nenda ukaishi sayari ingine ujiwekee vigezo vyako peke yako, ila hapa duniani kuna UN bodies zenye jukumu la kufuatilia mambo mbalimbali kitaalamu na kutoa taarifa za kidunua, ila kwa wale waliozoea kuishi kiswahili bila wataendelea kubaki katika dimbwi la ujinga hadi siku ya mwisho.
Ndiyo sababu nikakuambia kama unapingana na dunia nzima unaona hawana akili zaidi yako, wewe ni kiumne cha ajabu sana, nenda katafute sayari ingine hapa hapakufai.Achana na google kwenye historia weye!!! Akili za wapi hizi? Huko google wameupdate kuhusu waraka wa Viongozi wa dini!? Wameupdate kuhusu miili kuokotwa ufukweni, kuhusu waandishi wa habari kupotea?
π±π±π±