Tanzania; political stability attract French investors

Achana na vigezo vya mwaka 47 weye? Lini umesikia Kenya miili imeokota ufukweni!? Tia akili kichwani

Kidunia Tanzania ipo namba 54, Kenya namba 125, hivi ni vigezo vya kidunia, wewe unatumia vigezo gani?, au unatumia vigezo vya mitaani?. Haya tuambie wewe katika vigezo vya amani na utulivu duniani Tanzania iko katika nafasi ipi?
 
Achana na vigezo vya mwaka 47 weye? Lini umesikia Kenya miili imeokota ufukweni!? Tia akili kichwani
Ingia google andika" world peace ranking 2017", sasa kama unapingana na dunia nzima wewe ni mtu wa ajabu, nenda ukaishi sayari ingine ujiwekee vigezo vyako peke yako, ila hapa duniani kuna UN bodies zenye jukumu la kufuatilia mambo mbalimbali kitaalamu na kutoa taarifa za kidunua, ila kwa wale waliozoea kuishi kiswahili bila wataendelea kubaki katika dimbwi la ujinga hadi siku ya mwisho.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Kama hajipendi na wanaka kupoteza pesa zao waj e tuu. Wamuulize dangote Hana Hamu na Mzee WA trillion Hadi kaamua kufunga kiwanda
 
Achana na google kwenye historia weye!!! Akili za wapi hizi? Huko google wameupdate kuhusu waraka wa Viongozi wa dini!? Wameupdate kuhusu miili kuokotwa ufukweni, kuhusu waandishi wa habari kupotea?
😱😱😱

Ingia google andika" world peace ranking 2017", sasa kama unapingana na dunia nzima wewe ni mtu wa ajabu, nenda ukaishi sayari ingine ujiwekee vigezo vyako peke yako, ila hapa duniani kuna UN bodies zenye jukumu la kufuatilia mambo mbalimbali kitaalamu na kutoa taarifa za kidunua, ila kwa wale waliozoea kuishi kiswahili bila wataendelea kubaki katika dimbwi la ujinga hadi siku ya mwisho.
 
Achana na google kwenye historia weye!!! Akili za wapi hizi? Huko google wameupdate kuhusu waraka wa Viongozi wa dini!? Wameupdate kuhusu miili kuokotwa ufukweni, kuhusu waandishi wa habari kupotea?
😱😱😱
Ndiyo sababu nikakuambia kama unapingana na dunia nzima unaona hawana akili zaidi yako, wewe ni kiumne cha ajabu sana, nenda katafute sayari ingine hapa hapakufai.
 
Back
Top Bottom