Tanzania population growth trend. A blessing or curse?

Tanzania population growth trend. A blessing or curse?

Kwahiyo wewe unaona ni sawa Serikali kumiliki njia zote za UCHUMI kama China?

Like really?

Do you know why China succeeded?Investment money from the West

Serikali yako haina hela,ina invest wapi wakati haina hela?

Na hapa naomba tukubaliane,HAKUNA MAHALI SERIKALI INATUMIA WANANCHI kwa chochote!
nadhani hunielewi, hakuna mahali nimesema serikali imiliki njia zote za uchumi. (Even though practicaly wakitaka wanaweza).
Sisemi tuwa copy everything hatutoweza, hatuna hiyo capacity, but tunaweza take some positives from them. And for the record watu ni rasilimali. agree to disagree serikal za wenzetu zimeweza wao wamefanyaje?

Unadhani uchumi wao ulipanda out of thin air bila ku involve watu wao? Come on man

Nita disagree na theory yako. Mwisho wa siku si lazima tukubaliane
 
Nimeona hapo kuwa sensa kutoka mwaka 2012 mpk 2022 kuna ongezeko kubwa la kuzaliana ambalo ni almost 2.7 ukilinganisha ukuwaji wa uzaliano kutoka mwaka 1967 ni -2010,hapa ina maanisha vijana wa kileo wanazaliana kuliko maelezo hii naona sababu kubwa jamaa wale watangaza nguvu za kiume
 
The history of population counts in Tanzania dates back to 1910. The first modern census was conducted in 1958. After the union of Tanganyika and Zanzibar in 1964, other censuses were conducted in 1967, 1978, 1988, 2002 and 2012. Since 1967, the country has conducted decennial Population and Housing Censuses on a de facto basis in accordance with the United Nations (UN) Principles and Recommendations for conducting population and housing censuses.

Data collected in these censuses show that the Tanzania’s population has increased about five times since 1967 from 12,313,469 persons in 1967 to 61,741,120 persons in 2022. The 2022 census enumerated 61.7 million persons representing an average annual intercensal population growth rate of 3.2 percent during the 2012 – 2022 period compared to 2.7 percent recorded in the 2002-2012 period.
NOTE
Fertility rate : 4
Children 46%
Aged: 3.6%
Dependency ratio: 87.4%
Urban population: 30%
Rural population:70%
Workforce by sector:
Agriculture: 75%-80%
Industry: less than 10%
Service: less than 10%
Unknown: above 10%

View attachment 2942382View attachment 2942387
A blessing or curse?
population growth we don't classify either curse or blessed but it depend to the fact of how government distribute and create conducive Environmental to attract its citizens to increase purchases capacity.
 
nadhani hunielewi, hakuna mahali nimesema serikali imiliki njia zote za uchumi. (Even though practicaly wakitaka wanaweza).
Sisemi tuwa copy everything hatutoweza, hatuna hiyo capacity, but tunaweza take some positives from them. And for the record watu ni rasilimali. agree to disagree serikal za wenzetu zimeweza wao wamefanyaje?

Unadhani uchumi wao ulipanda out of thin air bila ku involve watu wao? Come on man

Nita disagree na theory yako. Mwisho wa siku si lazima tukubaliane
Mkuu

West re-allocated their production of low level mass production products to China start 1970's

Maana yake ni kwamba kulikua na FDI physical USD dollar cash coming from the West to China,ndio maana China took off!

Huwezi shikilia njia zote za uchumi wakati huna cash yoyote,all countries doing this have collapsed and China will follow suit,its the matter of time.

Serikali ya Tanzania haina uwezo huo maana HAINA hela,only watu binafsi wanaweza!

Na kingine,hakuna mahali serikali INATUMIA wananchi wake kwa lolote!
 
Mkuu

Naona umeandika vitu virefu visivyo na maana

Nimekuambia nipe mfano mmoja tu "serikali inatumia wananchi" kivipi

Serikali inahusika vipi na kujenga viwanda?

Serikali inahusika vipi na hela za watu waliopo diaspora wanawatumia ndugu zao,serikali inahusika nini na jasho la watu?

Serikali haina uwezo wa kufanya innovation wala kugundua technologies,hizi wanagundua wananchi na sio serikali

Viwanda wanajenga wananchi na sio serikali,mitaji binafsi ya watu

Serikali haina uwezo wa KUTUMIA watu..wao wanashughulika na POLICIES tu,na policies ni sheria za mchezo,actors wote tuliopo kwenye huu mchezo tuzifate including govt itself
Serikali inawajibika kuweka mazingira wezeshi kwa wananchi wake, ikiwa ni pamoja na kutoa knowledge na skills kwa wananchi kupitia mifumo ya elimu, kuweka sera nzuri za upatikanaji wa mitaji. Serikali inapaswa kuwekeza kwenye tafiti. Hiyo ni kwa uchache sana!
 
Elimu ni kazi ya mwananchi,analipia na anachagua asome elimu gani anavyojisikia yeye

Yule anaeshindwa kabisa which is very wrong serikali ndio inatoa kiasi kwenye kodi zetu inajenga shule za HOVYO sana zinazoitwa public schools,hazina walimu wala viti,ni mavi

Mifumo ya elimu ya serikali ni mabovu na ya hovyo na haina misingi wala vitendea kazi,wananchi tunawajibika kufata mifumo yetu ambayo ni bora,ina kila kitu,na inawafaa watoto wetu na tunalipia sawa sawa!

Serikali haijui kutoa elimu bora kama sekta binafsi

Mazingira wezeshi serikali haina uwezo wa kuyaweka,serikali kazi yake kubwa ni kukata leseni na kutupatia wananchi tufanye uzalishaji

Serikali haijui lolote kuhusu utafiti,haijui innovation wala haijui maana ya technologies ni nini

Hizi tunaweza sisi wananchi hasa sekta binafsi kwa ufanisi na tunajua maana yake ni nini na tunatumia bajeti kidogo kufanya na impact ni kubwa

Serikali isimamie sheria na policies tu...hakuna msaada mwingine

Hebu niambie SERIKALI inajua nini hasa kunielekeza mimi sekta binafsi kuhusu lolote?

HAKUNA!
 
Dont judge me!
It is an open ended question. Answer it at your best.
Why should I judge you? .. it's seems that what you wrote it's wat you think about what if I write different from ya opinions do ya gonna agree with me or nat?
 
Why should I judge you? .. it's seems that what you wrote it's wat you think about what if I write different from ya opinions do ya gonna agree with me or nat?
Why not, this thread to me is neutral because I want get the views of every one.
 
Back
Top Bottom