Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
nadhani hunielewi, hakuna mahali nimesema serikali imiliki njia zote za uchumi. (Even though practicaly wakitaka wanaweza).Kwahiyo wewe unaona ni sawa Serikali kumiliki njia zote za UCHUMI kama China?
Like really?
Do you know why China succeeded?Investment money from the West
Serikali yako haina hela,ina invest wapi wakati haina hela?
Na hapa naomba tukubaliane,HAKUNA MAHALI SERIKALI INATUMIA WANANCHI kwa chochote!
Sisemi tuwa copy everything hatutoweza, hatuna hiyo capacity, but tunaweza take some positives from them. And for the record watu ni rasilimali. agree to disagree serikal za wenzetu zimeweza wao wamefanyaje?
Unadhani uchumi wao ulipanda out of thin air bila ku involve watu wao? Come on man
Nita disagree na theory yako. Mwisho wa siku si lazima tukubaliane