Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Swahiba mikia akili zao wanazijua wenyewe kwa kweli![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Swahiba na sembo akiwa mmoja wapo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swahiba mikia akili zao wanazijua wenyewe kwa kweli![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Swahiba na sembo akiwa mmoja wapo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmh. Mtanii. Kwani mshacheza nao?Ni mpera mpera wakicheza na yanga ila wakijua tunacheza na MNYAMA basi tayariiiii............ ...
We Cheka tu Sesten. 😀😀😀Nimecheka huo wimbo aisee, ama kweli ushindi unalewesha...katimu kenye hako ka KMC kampya halafu kanawatoa jasho, tuombe uzima tu kutoka kwa Maulana maana baadae huko mtakuja na kilio hapa ooh Simba sijui wanapitisha miamala Yanga ipoteze mechi sijui nini, yaani keleeele moja kwa moja, yetu macho
Hahahaaa. Ndio Mtani kushukuru lazima sababu point tatu ndio kila kitu.KMC salama yao ilikuwa droo. Lakini nayo walichemka, ila yaonyesha umeshukuru si kitoto dk 85 holaaa
Lunyasi sembo anakuja kukupa wakati mgumu hivi punde..jiandae kisaikolojia[emoji3][emoji3][emoji3]
Hawa KMC wameniudhi sana.. Ila baada ya gemu zetu 2 kuanzia sasa.. Ya 3 tunao.. Hapo itakua mda muafaka wa kuonesha hasira zetu kwao.KMC salama yao ilikuwa droo. Lakini nayo walichemka, ila yaonyesha umeshukuru si kitoto dk 85 holaaa
Lunyasi sembo anakuja kukupa wakati mgumu hivi punde..jiandae kisaikolojia[emoji3][emoji3][emoji3]
CC HajarHahaha.. Mtani, mpaka sasa siamini kilichotokea. Kaseja tunaomjua sisi, si wakufungwa goli la kizembe vile.
Tumewaachia vyombo husika vifanye kazi yake.
Tukicheza nao wakijikaza sana basi 5 halafu kwanini nyinyi yanga SIMBA ikipiga soka lake la viwango vya dunia la ushindi mnono basi mawazo yenu yanawaza miamala kwa nini msikubali tu kuwa SIMBA ni ya viwango vya duniaMmh. Mtanii. Kwani mshacheza nao?
Hahahaaa. Tayari nini maalizia sasa mtani. Au ndio Muamala. 😜😜😜😜
Sasa mbona fei toto alikuwa nyuma ya kakolanya husemi?Wanatutisha mkude wakati hawakushinda. [emoji23][emoji23]
Simba mkifanya vibaya ugenini kwa kua mna timu nzuri mnaamini na yanga ni hivyohivyo, msikariri subirini mda utasemaTimu inayocheza mpira kama ipi Sesten sema tu.
Naamini hivyo pote pote Sesten. [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
[emoji444][emoji444][emoji444]Kwani wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini [emoji444][emoji444][emoji444] naimba tu Seten.
Tukicheza nao wakijikaza sana basi 5 halafu kwanini nyinyi yanga SIMBA ikipiga soka lake la viwango vya dunia la ushindi mnono basi mawazo yenu yanawaza miamala kwa nini msikubali tu kuwa SIMBA ni ya viwango vya dunia
Ndio fomesheni ya timu ilikua hivyo siku ile, ndio maana mechi zote 7 tumeshinda hakai nyuma yakeSasa mbona fei toto alikuwa nyuma ya kakolanya husemi?
Kabisa mkuu vyura wanapata tabu na soka letu wanatamani wawe sisiHahaha.. Kwa kua tunachokifanya sisi, wao hawakiwezi.. Hivyo wanahisi kuna nguvu ya ziada (muamal).
Kwa soka tunalotandaza kwa sasa, Simba SC ni ndugu mmoja na Barcelona.
Hahaha.. Nikumegee siri.. Huyo beki katika mazoezi ya timu ya Taifa ya Rwanda, alikua ni uchochoro kwa MK14. Nimeshuhudia, MK14 akimgeuza anavyotaka.Abdul Rwatubyaye beki katili wa timu ya Taifa ya Rwanda muda wowote anatua Jangwani...sipati picha akicheza na Cotton..inanikumbusha Stam na Rio pale Traford
Mkitoboa mikoani kama mnavyofanya dar.. basi hakuna haja ya kutabiri bingwa nani?Simba mkifanya vibaya ugenini kwa kua mna timu nzuri mnaamini na yanga ni hivyohivyo, msikariri subirini mda utasema
Hawa KMC wameniudhi sana.. Ila baada ya gemu zetu 2 kuanzia sasa.. Ya 3 tunao.. Hapo itakua mda muafaka wa kuonesha hasira zetu kwao.
Aisee jamaa wameishiwa mpaka beki chochoro wanaiona lulu hahaha wailete hiyo beki ikutane na washambuliaji wanyumbulifu simba nguvu mojaHahaha.. Nikumegee siri.. Huyo beki katika mazoezi ya timu ya Taifa ya Rwanda, alikua ni uchochoro kwa MK14. Nimeshuhudia, MK14 akimgeuza anavyotaka.
Mkuu jitahidini mumlete kabla mzunguko wa 2 wa TPL haujaanza.. Kama tatizo ni hela, pitisheni bakuli, nitakua wa kwanza kuchanga.
Hahaaaa. Mmeshaanza MtaniHahaha.. Mtani, mpaka sasa siamini kilichotokea. Kaseja tunaomjua sisi, si wakufungwa goli la kizembe vile.
Tumewaachia vyombo husika vifanye kazi yake.
Hahaha.. Poa Mtani, ila hongereni kwa ushindi kiduuuchu.Pole sana Mtani. Utanitag na mie ili nizione hizo hasira zenu Mtani. [emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂 hatariiiSwahiba mikia akili zao wanazijua wenyewe kwa kweli!
Hahaha... Na wamlete tu.Aisee jamaa wameishiwa mpaka beki chochoro wanaiona lulu hahaha wailete hiyo beki ikutane na washambuliaji wanyumbulifu simba nguvu moja