Tanzania Premier League: Simba SC 0 - 0 Lipuli FC zatoshana nguvu

Simba wanajifanya wanakikosi kipaana ila hawajui kuwa wanawachezaji wa type moja wa kiungo hawana plan B,leo Lipuli walijaa sana kati wangekuwa na mawinga na kupiga kross wangeshinda game hii, ndo maana kuna dogo aliingia na kupiga kross kadhaa za hatari sana,ila kwa team yetu hamna plan B hata mbambane watawatoa asubuhi tu
 
BANGUSILO FC WANAZIDI KUCHANGANYIKIWA.

-Yanga hawana pesa ila wanapata ushindi Taifa

-Yanga hawana pesa ila wanapata ushindi nje ya dar

-Yanga hawana pesa ila wanalala hotel nzuri

-Yanga hawana pesa ila wanapanda ndege.

- Yanga hawana pesa ila mashabiki wao wana furaha.

- Yanga hawana viongozi lakini wanapeta tu.

- Yanga wana migogoro ila ushindi kama kawa.

- Yanga ina unga unga kikosi kutokana na baadhi ya wachezaji kugoma lakini bado wanapata ushindi.

Ngoja tuzipate Bangusilo tutawaonesha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…