Tanzania Premier League: Simba SC 0 - 0 Lipuli FC zatoshana nguvu

Balaa gani hii, mboni hawa Yanga yangu wanapata magoli mepesi tu.
Sisi tunafunga kibendela analigomea goli.
Yanga wanakubaliwa hata goli la offside.
Ndo imeamuliwa timu ya nyerere ishinde ?
Sasa hao memolodi itakuwaje kama timechemka kwa ka Lipuli ya shamba.
Boko anaonekana kabisa kufulia toka dakika ya kwanza, kocha anamuwacha tu.
Leo tumefungwa na John Bocco.
Bora Salamba kuliko Bocco.
Bocco ni butu kwa sasa
 
Kwa hiyo Amunike hakukosea kumpiga bench?
 
Balaa gani hii, mboni hawa Yanga yangu wanapata magoli mepesi tu.
Sisi tunafunga kibendela analigomea goli.
Yanga wanakubaliwa hata goli la offside.
Ndo imeamuliwa timu ya nyerere ishinde ?
Sasa hao memolodi itakuwaje kama timechemka kwa ka Lipuli ya shamba.
Boko anaonekana kabisa kufulia toka dakika ya kwanza, kocha anamuwacha tu.
Leo tumefungwa na John Bocco.
Bora Salamba kuliko Bocco.
Bocco ni butu kwa sasa
Mechi yenu na Lipuli a.k.a Simba B mmechemsha.
Yanga kaingiaje hapo?
TFF yote ni Simba. Waamuzi ni Simba. Kubalini matokeo. Ilikuwa mpe Matola jana awe kocha wenu msaidizi ili leo auze mechi.
 
Balaa gani hii, mboni hawa Yanga yangu wanapata magoli mepesi tu.
Sisi tunafunga kibendela analigomea goli.
Yanga wanakubaliwa hata goli la offside.
Ndo imeamuliwa timu ya nyerere ishinde ?
Sasa hao memolodi itakuwaje kama timechemka kwa ka Lipuli ya shamba.
Boko anaonekana kabisa kufulia toka dakika ya kwanza, kocha anamuwacha tu.
Leo tumefungwa na John Bocco.
Bora Salamba kuliko Bocco.
Bocco ni butu kwa sasa
BOCCO ANA MGOMO NASIKIA HAJAMALIZIWA HELA ZA. USAJILI...!!
 
Back
Top Bottom